Wapinzani Mwanza wapigwa kombora
Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu amedai kuwa Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje na wabunge wenzake wa upinzani mkoani hapa kwa miaka minne ya uwepo wao bungeni, wameshindwa kutekeleza ahadi zao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Oqaws6peaw0/VZysfWA5k3I/AAAAAAAAxWc/Dysd-zC6rMg/s72-c/Christopher-Mtikila.jpg)
Mtikila Amerusha Kombora Kwa Mgombea Urais Edward Lowasa..Nimekuwekea Hapa Hilo Kombora
![](http://2.bp.blogspot.com/-Oqaws6peaw0/VZysfWA5k3I/AAAAAAAAxWc/Dysd-zC6rMg/s400/Christopher-Mtikila.jpg)
KATIKA UCHAGUZI MKUU HUU TUSIRUHUSU MAFISADI WALICHEZEE TAIFA
Edward Lowasa ni balaa kwa Taifa!
Democratic Party (DP) inatarajia kufikisha Mahakamani chama chaCCM pamoja na wanachama wake sita, Edward Lowasa na wengine,kwa mujibu wa Ibara ya 26 ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania, kwa kosa
kubwa sana la kuvunja Katiba na Sheria za Nchi kwa kuanza kampeniya Uchaguzi kabla ya wakati unaopasa kwa mujibu wa Sheria.1 Tunao ushahidi mzito unaothibitisha kwamba Edward Lowasa nawenzake walianza kampeni ya...
11 years ago
MichuziVIONGOZI WA WAFANYAKAZI JIJINI MWANZA WAPIGWA MSASA
11 years ago
MichuziWachoma Nyama jijini Mwanza wapigwa msasa na Safari Lager
Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja matukio wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) kanda ya Ziwa, Erick Mwayela, alisema lengo la kutoa mafunzo ni kutoa elimu kwa wachoma nyama ukizingatia uchomaji nyama ni moja sehemu ya...
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Dk. Slaa arusha kombora
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimefichua siri kwamba Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeanza kuuza baadhi ya viwanda vya umma kwa wake za marais na wabunge wa chama...
10 years ago
Mtanzania09 Mar
Kinana arusha kombora Ikulu
NA ELIYA MBONEA, DODOMA
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amemshauri Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, awachukulie hatua watumishi wote wa Serikali wanaohusishwa na mgawo wa fedha za Escrow.
Akihutubia wakazi wa mji wa Dodoma jana katika viwanja vya Barafu, Kinana alisema haiingii akilini kuona mtuhumiwa wa ufisadi akitokea ofisini kwenda kuhojiwa kuhusu jinsi alivyopewa fedha kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow.
Kutokana na hali hiyo, alisema kuna haja kwa...
10 years ago
Uhuru NewspaperNape awarushia kombora UKAWA
NA MWANDISHI WETUMCHAKATO wa Katiba Mpya umeendelea kutumika kama kichaka cha kuzuia vuguvugu la mabadiliko katika vyama vya upinzani nchini.
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Jaji Mkuu arusha kombora
JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, amesema kesi za Operesheni Tokomeza Ujangili hazikufunguliwa wala kuamriwa porini bali zilifunguliwa na kusikilizwa kwa mujibu wa sheria katika mahakama. Aliyasema hayo jana katika...
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Dk. Magufuli arusha kombora Ukawa
NA BAKARI KIMWANGA, GEITA
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mabadiliko ya kweli hayawezi kuletwa kwa kuzungusha mikono, bali yatakuja kwa kufanya kazi.
Kutokana na hali hiyo, amesema yeye ndiye anayeweza kuleta mabadiliko ya kweli yanayokwenda na vitendo katika kujenga uchumi wa nchi na watu wake.
Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti, alipokuwa akizungumza wakati wa mikutano ya kampeni iliyofanyika katika majimbo ya Buchosa, Geita na...
11 years ago
BBCSwahili29 Jul
Wauawa kwa kushambuliwa na kombora