Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Slaa atua Dar, arusha kombora zito

Dar es Salaam. Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kuandikisha wapigakura kwenye mikoa ambayo ni ngome ya CCM na kwamba ile yenye upinzani itaandikishwa kwa kulipua ili watu wengi wenye sifa ya kupiga kura wasiandikishwe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa arusha kombora

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimefichua siri kwamba Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeanza kuuza baadhi ya viwanda vya umma kwa wake za marais na wabunge wa chama...

 

10 years ago

GPL

KAKOBE AWARUSHIA KOMBORA ZITO NYALANDU, MWIGULU

Stori: Gladyness Mallya
Katika hali isiyo ya kawaida Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe amefunguka na Injili nzito kwa kuwataja baadhi ya wagombea urais kwamba waingie katika wokovu kamili badala ya kuwa na wokovu aliodai ni wa kuigiza. Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe. Katika moja ya mahubiri yake kanisani kwake Mwenge, Sam Nujoma Road, Askofu Kakobe ...

 

10 years ago

Mtanzania

Kinana arusha kombora Ikulu

kinanaNA ELIYA MBONEA, DODOMA
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amemshauri Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, awachukulie hatua watumishi wote wa Serikali wanaohusishwa na mgawo wa fedha za Escrow.
Akihutubia wakazi wa mji wa Dodoma jana katika viwanja vya Barafu, Kinana alisema haiingii akilini kuona mtuhumiwa wa ufisadi akitokea ofisini kwenda kuhojiwa kuhusu jinsi alivyopewa fedha kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow.
Kutokana na hali hiyo, alisema kuna haja kwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Magufuli arusha kombora Ukawa

g6NA BAKARI KIMWANGA, GEITA

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mabadiliko ya kweli hayawezi kuletwa kwa kuzungusha mikono, bali yatakuja kwa kufanya kazi.

Kutokana na hali hiyo, amesema yeye ndiye anayeweza kuleta mabadiliko ya kweli yanayokwenda na vitendo katika kujenga uchumi wa nchi na watu wake.

Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti, alipokuwa akizungumza wakati wa  mikutano ya kampeni iliyofanyika katika majimbo ya Buchosa, Geita na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Mkuu arusha kombora

JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, amesema kesi za Operesheni Tokomeza Ujangili hazikufunguliwa wala kuamriwa porini bali zilifunguliwa na kusikilizwa kwa mujibu wa sheria katika mahakama. Aliyasema hayo jana katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Lissu arusha kombora lingine kwa mawaziri

Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk Binilith Mahenge, jana walituhumiwa kutumia vibaya nafasi zao kwa kuweka fedha nyingi za miradi ya maji katika maeneo wanakotoka, huku sehemu zenye matatizo ya huduma hiyo zikitengewa fedha kiduchu.

 

10 years ago

Vijimambo

Mtikila Amerusha Kombora Kwa Mgombea Urais Edward Lowasa..Nimekuwekea Hapa Hilo Kombora


KATIKA UCHAGUZI MKUU HUU TUSIRUHUSU MAFISADI WALICHEZEE TAIFA
Edward Lowasa ni balaa kwa Taifa!
Democratic Party (DP) inatarajia kufikisha Mahakamani chama chaCCM pamoja na wanachama wake sita, Edward Lowasa na wengine,kwa mujibu wa Ibara ya 26 ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania, kwa kosa
kubwa sana la kuvunja Katiba na Sheria za Nchi kwa kuanza kampeniya Uchaguzi kabla ya wakati unaopasa kwa mujibu wa Sheria.1 Tunao ushahidi mzito unaothibitisha kwamba Edward Lowasa nawenzake walianza kampeni ya...

 

10 years ago

Michuzi

Dk. Willibroad Slaa atua mwanza kuwatambulisha lembeli na bulaya leo

 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Willibroad Slaa akiwa kwenye gari katika msafara wa mapokezi kwa ajili ya mkutano wa hadhara wa kuwatambulisha Mbunge wa Kahama, James Lembeli na Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya waliohamia Chadema wakitokea CCM jana jijini Mwanza. Msafara ukiendelea kuelekea uwanjani sasaMbunge wa Jimbo la Kahama, mkoani Shinyanga, James Lembeli (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Taifa, John Mnyika, wakiwapungia wananchi mikono...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani