Dk. Willibroad Slaa atua mwanza kuwatambulisha lembeli na bulaya leo

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Willibroad Slaa akiwa kwenye gari katika msafara wa mapokezi kwa ajili ya mkutano wa hadhara wa kuwatambulisha Mbunge wa Kahama, James Lembeli na Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya waliohamia Chadema wakitokea CCM jana jijini Mwanza.
Msafara ukiendelea kuelekea uwanjani sasa
Mbunge wa Jimbo la Kahama, mkoani Shinyanga, James Lembeli (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Taifa, John Mnyika, wakiwapungia wananchi mikono...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
ESTER BULAYA, LEMBELI WAKIWA KATIKA MKUTANO WA CHADEMA MWANZA LEO
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
Chadema ya leo inamhitaji Lembeli au Esther Bulaya?
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) enzi za kina Dk Wilbroad Slaa pamoja na Chadema ile y
Mayage S. Mayage
10 years ago
TheCitizen01 Sep
Dr Willibroad Slaa resigns
10 years ago
Vijimambo06 Jun
Mjue DK Willibroad Slaa: Katibu Mkuu wa Chadema

10 years ago
Mwananchi31 Jul
Lembeli ashinda kura za maoni Chadema, Bulaya almanusura
10 years ago
GPL
JAMES LEMBELI NA ESTER BULAYA WAKABIDHIWA RASMI KADI ZA CHADEMA
10 years ago
Mwananchi06 Jun
NANI NI NANI URAIS: DK Willibroad Slaa: Katibu Mkuu wa Chadema
10 years ago
Michuzi
DIAMOND PLATINUMZ ATUA JIJINI MWANZA KWA KISHINDO LEO




10 years ago
Mwananchi22 Apr
Dk Slaa atua Dar, arusha kombora zito