Jaji Mkuu: Majaji Escrow niachieni
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, ametaka suala linalohusu majaji wa Mahakama Kuu, Profesa Eudes Ruhangisa na Aloysius Mujulizi, waliotajwa kupata mgawo katika fedha zilizochotwa kutoka akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), aachiwe kulishughulikia mwenyewe.
Jaji Othman Chande alitoa kauli hiyo kupitia Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Ignas Kitusi, aliyezungumza na NIPASHE, ofisini kwake, jijini Dar es...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania02 Feb
Jaji Mkuu apangua majaji
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
JAJI Mkuu, Mohammed Othman Chande, amewahamisha majaji 27 wa Mahakama Kuu Tanzania akiwamo Jaji John Utamwa aliyehamishiwa Mahakama Kuu Tabora na Jaji Dk. Fauz Twaib aliyehamishiwa Mahakama Kuu Mtwara.
Uhamisho huo ulifanyika mwishoni mwa wiki ambako majaji wengine walibadilishwa vituo vya kazi na wengine kuteuliwa kuwa wafawidhi wa kanda.
Majaji waliohamishwa ni Jaji Agathon Nchimbi aliyekuwa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara kwenda Mahakama Kuu Ardhi, Jaji...
10 years ago
MichuziJAJI MKUU WA TANZANIA AFUNGUA RASMI MAFUNZO ELEKEZI YA MAJAJI WAPYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-vyjiEBwdDXA/VASBBmo2VYI/AAAAAAAGaBc/SxRI3gb_5xg/s1600/unnamed%2B(22).jpg)
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Escrow yamng’oa Mwanasheria Mkuu Jaji Werema
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Swali sakata la escrow ‘lamvunja mbavu’ Jaji Mkuu Chande
10 years ago
Mtanzania03 Feb
Majaji wa Escrow kitanzini
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
TUME ya Utumishi wa Mahakama imesema suala la majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wanaotuhumiwa kupokea zaidi ya Sh milioni 400 kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow, limefika kwenye tume hiyo na linafanyiwa kazi.
Kwa utaratibu wa tume hiyo, baada ya uchunguzi taarifa hupelekwa kwa rais ambaye baada ya kupitia mapendekezo yaliyotolewa kwenye ripoti ya uchunguzi, hutoa uamuzi.
Hayo yalielezwa jana na Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Hussein Katanga, katika banda la Tume...
10 years ago
Habarileo03 Feb
Majaji waliotajwa Escrow wachunguzwa
JAJI Mkuu, Mohamed Chande Othman amesema Kamati ya Maadili ya Majaji imeanza kushughulikia tuhuma za kinidhamu na kimaadili dhidi ya majaji wawili wa Mahakama Kuu, waliotajwa kupata mgawo katika fedha zilizochukuliwa kutoka akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
10 years ago
Mwananchi23 Feb
Hatma ya majaji escrow kuchukua muda mrefu
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/DSC_0003.jpg?width=640)
JAJI RUTAKANGWA: BADO KUNA UPUNGUFU WA MAJAJI NCHINI