Majaji waliotajwa Escrow wachunguzwa
JAJI Mkuu, Mohamed Chande Othman amesema Kamati ya Maadili ya Majaji imeanza kushughulikia tuhuma za kinidhamu na kimaadili dhidi ya majaji wawili wa Mahakama Kuu, waliotajwa kupata mgawo katika fedha zilizochukuliwa kutoka akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Dec
10 years ago
MichuziKINANA ATOA USHAURI KWA KATIBU MKUU KIONGOZI KUWASIMAMISHA MARA MOJA VIONGOZI WALIOTAJWA KWENYE SAKATA LA ESCROW .
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimwagilia maji zao la...
10 years ago
Mtanzania03 Feb
Majaji wa Escrow kitanzini
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
TUME ya Utumishi wa Mahakama imesema suala la majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wanaotuhumiwa kupokea zaidi ya Sh milioni 400 kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow, limefika kwenye tume hiyo na linafanyiwa kazi.
Kwa utaratibu wa tume hiyo, baada ya uchunguzi taarifa hupelekwa kwa rais ambaye baada ya kupitia mapendekezo yaliyotolewa kwenye ripoti ya uchunguzi, hutoa uamuzi.
Hayo yalielezwa jana na Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Hussein Katanga, katika banda la Tume...
10 years ago
Vijimambo14 Jan
Jaji Mkuu: Majaji Escrow niachieni
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, ametaka suala linalohusu majaji wa Mahakama Kuu, Profesa Eudes Ruhangisa na Aloysius Mujulizi, waliotajwa kupata mgawo katika fedha zilizochotwa kutoka akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), aachiwe kulishughulikia mwenyewe.
Jaji Othman Chande alitoa kauli hiyo kupitia Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Ignas Kitusi, aliyezungumza na NIPASHE, ofisini kwake, jijini Dar es...
10 years ago
Mwananchi23 Feb
Hatma ya majaji escrow kuchukua muda mrefu
10 years ago
Mwananchi21 May
Sheria iwashughulikie waliotajwa na CAG
11 years ago
GPLMASTAA MATAJIRI WACHUNGUZWA
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Watoto 60 wachunguzwa moyo Muhimbili
JUMLA ya watoto 60 wamefanyiwa uchunguzi wa afya ya moyo bure, Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na watakaobainika watapatiwa matibabu. Watoto hao ni wale ambao wazazi wao wanakipato...
10 years ago
Habarileo12 Oct
Wanawake 200 wachunguzwa saratani
WANAWAKE zaidi ya 200 jana walijitokeza katika kambi ya bure ya uchunguzi wa saratani ya matiti katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi pamoja na kupata ushauri kuhusu saratani ya matiti.