Sheria iwashughulikie waliotajwa na CAG
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amewasilisha ripoti ya tano za ukaguzi wa fedha kwa mwaka ulioishia Juni 30, 2014 akibainisha ufisadi wa zaidi ya Sh600 bilioni katika maeneo mbalimbali na matumizi ya fedha ambayo hayana maelezo ya kutosha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Apr
UVCCM: Green Guard iwashughulikie Ukawa ikiwa...
10 years ago
Habarileo03 Feb
Majaji waliotajwa Escrow wachunguzwa
JAJI Mkuu, Mohamed Chande Othman amesema Kamati ya Maadili ya Majaji imeanza kushughulikia tuhuma za kinidhamu na kimaadili dhidi ya majaji wawili wa Mahakama Kuu, waliotajwa kupata mgawo katika fedha zilizochukuliwa kutoka akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
10 years ago
Mwananchi11 Dec
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Hawa ndio mastaa wa soka waliotajwa kuwa bora zaidi 2015…
Mashabiki wengi wa soka wanaamini nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ndiye bora duniani..lakini kuna hili gazeti moja kutoka Ufaransa la L’Equipe limeorodhesha wachezaji 100 waliofanya vizuri kwa mwaka uliopita wa 2015. Katika orodha hiyo Ronaldo pamoja na mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski wamefanikiwa kuingia hatua ya tano bora. Mastaa waliofanikiwa kushika nafasi tatu za […]
The post Hawa ndio mastaa wa soka waliotajwa kuwa bora zaidi 2015… appeared first on...
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Dakika 4 za kuenjoy ngoma ya bendi ya wafungwa Malawi waliotajwa Tuzo za Grammy.. (+Video)
Kama ulikuwa karibu na radio yako jana December 16 2015 moja ya stori kubwa iliyosikika kwenye AMPLIFAYA ilikuwa ni hii inayohusu bendi ya wafungwa kutoka Malawi iliyotajwa kuingia kwenye Tuzo za Grammy zitakazotolewa February 2016. Bendi Inaitwa Zomba Prison Band na tayari wana album ambayo wameipa jina la ‘I Have No Everything Here‘, bendi hiyo ina […]
The post Dakika 4 za kuenjoy ngoma ya bendi ya wafungwa Malawi waliotajwa Tuzo za Grammy.. (+Video) appeared first on...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-w-kMPS3Oa4Q/VPtkoffIKCI/AAAAAAAHImI/t6qukxrKMuo/s72-c/10.jpg)
KINANA ATOA USHAURI KWA KATIBU MKUU KIONGOZI KUWASIMAMISHA MARA MOJA VIONGOZI WALIOTAJWA KWENYE SAKATA LA ESCROW .
![](http://2.bp.blogspot.com/-w-kMPS3Oa4Q/VPtkoffIKCI/AAAAAAAHImI/t6qukxrKMuo/s1600/10.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-YXkRu3hlTWw/VPtk08CMMSI/AAAAAAAHInk/eO9wWG4GyZU/s1600/9.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-jTyBDNq288o/VdyZTkaAo6I/AAAAAAAHz8I/J8nnsC97AtE/s72-c/00221917e13e0e8cb0b11c.jpg)
MAKALA YA SHERIA: KWA MUJIBU WA SHERIA NDOA HIZI HAZIRUHUSIWI
![](http://3.bp.blogspot.com/-jTyBDNq288o/VdyZTkaAo6I/AAAAAAAHz8I/J8nnsC97AtE/s400/00221917e13e0e8cb0b11c.jpg)
Hapa kwetu Tanzania tunazo ndoa za aina kuu mbili. Kwanza tunazo ndoa za kiraia au kiserikali, na pili tunazo ndoa za kimila.
Ndoa za kiraia au za kiserikali kama zinavyojulikana kwa wengi ni zile ambazo hufungwa chini ya usimamizi wa mamlaka za serikali kama ofisi ya mkuu wa wilaya n.k. Na kwa upande wa ndoa za kimila hizi ni zile ambazo hufungwa kutokana na taratibu za watu wa kabila au koo fulani kwa mujibu...
10 years ago
Michuzi29 Jan
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lYQDo02t4W4/VQe_C_ejV3I/AAAAAAAHK2I/YKfI2eo4pLY/s72-c/images.jpg)
MAKALA YA SHERIA: SHERIA HAILAZIMISHI KUTOA MATUNZO YA MTOTO KULIKO UWEZO WAKO.
![](http://3.bp.blogspot.com/-lYQDo02t4W4/VQe_C_ejV3I/AAAAAAAHK2I/YKfI2eo4pLY/s1600/images.jpg)
1.HUWEZI KUMLAZIMISHA ...