Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAJI RUTAKANGWA‏: BADO KUNA UPUNGUFU WA MAJAJI NCHINI

Mgeni rasmi Jaji wa Mahakama ya Rufani, Edward Rutakangwa (katikati) akiwasili kufungua rasmi mafunzo ya siku nne juu ya sheria za kimataifa za kazi kwa majaji na wasajili wa mahakama nchini yalioandaliwa na Shirika la Kazi Duniani mjini Bagamoyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la kazi duniani kwenye nchi nne Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda, Alexio Musindo. Meza kuu ikipitia makabrasha yao kabla ya kufunguliwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mahakama Kuu bado ina upungufu wa majaji

JAJI Kiongozi Fakhi Jundu amesema Mahakama Kuu bado inakabiliwa na tatizo la upungufu wa majaji, jambo linalosababisha jaji mmoja kusikiliza mashauri mengi kwa mwaka.

 

11 years ago

Mwananchi

Majaji Jundu, Rutakangwa wateuliwa Mahakama EAC

Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamewateua majaji watatu kufanya kazi katika Mahakama ya Afrika ya Mashariki. Walioteuliwa ni Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Edward Rutakangwa na Jaji Kiongozi wa Tanzania, Fakihi Jundu. Mwingine ni Aaron Ringera wa Kenya.

 

9 years ago

Mwananchi

Jaji Mkuu: Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, amesema baadhi ya Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa kutokana na watendaji wake kuendekeza vitendo hivyo na kuwakosesha haki wananchi.

 

11 years ago

Michuzi

SIKU YA SHERIA DUNIANI YAFANYIKA MKOANI DODOMA, WALIA NA UPUNGUFU WA MAJAJI

   Wakili  wa Serekali Mfawidhi mkoa wa Dodoma, Mhe Angaza Mwaipopo akifafanua jambo wakati wa sherehe ya siku ya sheria mjini Dodoma leo. Jaji Mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Dodoma, Mhe Crecensia Makuru akizangumza jambo mbele ya watendaji na wadau wa mahakama wakati sherehe za siku ya Sheria zilizofanyika leo.  Wakili wa kujitegemea Mhe Mary Munissi wa mkoani Dodoma akielezea jambo wakati wa maadhimisho ya siku ya sheria yaliyofanyika leo  Mahakimu, Mawakili na watendaji wengine...

 

10 years ago

Mtanzania

Jaji Mkuu apangua majaji

jaji_chandeNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam

JAJI Mkuu, Mohammed Othman Chande, amewahamisha majaji 27 wa Mahakama Kuu Tanzania akiwamo Jaji John Utamwa aliyehamishiwa Mahakama Kuu Tabora na Jaji Dk. Fauz Twaib aliyehamishiwa Mahakama Kuu Mtwara.

Uhamisho huo ulifanyika mwishoni mwa wiki ambako majaji wengine walibadilishwa vituo vya kazi na wengine kuteuliwa kuwa wafawidhi wa kanda.

Majaji waliohamishwa ni Jaji Agathon Nchimbi aliyekuwa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara kwenda Mahakama Kuu Ardhi, Jaji...

 

10 years ago

Vijimambo

Jaji Mkuu: Majaji Escrow niachieni

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, ametaka suala linalohusu majaji wa Mahakama Kuu, Profesa Eudes Ruhangisa na Aloysius Mujulizi, waliotajwa kupata mgawo katika fedha zilizochotwa kutoka akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), aachiwe kulishughulikia mwenyewe.

Jaji Othman Chande alitoa kauli hiyo kupitia Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Ignas Kitusi, aliyezungumza na NIPASHE, ofisini kwake, jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA AFUNGUA RASMI MAFUNZO ELEKEZI YA MAJAJI WAPYA

Jaji Mkuu wa Tanzania,Mhe. Mohamed Chande Othman akitoa hotuba ya ufunguzi ya Semina elekezi ya Wahe. Majaji Wateule walioishwa hivi karibuni, lengo la Mafunzo likiwemo ni kuwapa Mwongozo juu ya utendaji kazi wa Mhimili wa Mahakama. Kundi la Majaji Wateule wakifuatilia hotuba ya Mhe. Jaji Mkuu alipokuwa akifungua rasmi Mafunzo hayo. Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman (aliyeketi katikati) na Viongozi wengine wa Mahakama na Chuo. Cha Uongozi wa Mahakama wakiwa katika picha ya...

 

10 years ago

GPL

JAJI MARK BOMANI MGENI RASMI UTOAJI TUZO KWA WATANZANIA WALIOTOA MCHANGO MKUBWA KUTETEA HAKI NA JAMII NCHINI DAR ES SALAAM JANA‏

Jaji mstaafu Mark Bomani (kulia) akimkabidhi Tuzo ya maono mapevu, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila. Jaji mstaafu Mark Bomani akimvisha skafu yenye Neno Tanzania Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani