Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majaji Jundu, Rutakangwa wateuliwa Mahakama EAC

Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamewateua majaji watatu kufanya kazi katika Mahakama ya Afrika ya Mashariki. Walioteuliwa ni Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Edward Rutakangwa na Jaji Kiongozi wa Tanzania, Fakihi Jundu. Mwingine ni Aaron Ringera wa Kenya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JAJI RUTAKANGWA‏: BADO KUNA UPUNGUFU WA MAJAJI NCHINI

Mgeni rasmi Jaji wa Mahakama ya Rufani, Edward Rutakangwa (katikati) akiwasili kufungua rasmi mafunzo ya siku nne juu ya sheria za kimataifa za kazi kwa majaji na wasajili wa mahakama nchini yalioandaliwa na Shirika la Kazi Duniani mjini Bagamoyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la kazi duniani kwenye nchi nne Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda, Alexio Musindo. Meza kuu ikipitia makabrasha yao kabla ya kufunguliwa...

 

10 years ago

Habarileo

Rais ateua Majaji Mahakama Kuu

RAIS Jakaya Kikwete ameteua Majaji 20 wa Mahakama Kuu ya Tanzania kutoka miongoni mwa mawakili wa kujitegemea, watumishi wa vyuo vikuu, Mawakili wa Serikali na taasisi na watumishi wa Mahakama.

 

11 years ago

Habarileo

Mahakama Kuu bado ina upungufu wa majaji

JAJI Kiongozi Fakhi Jundu amesema Mahakama Kuu bado inakabiliwa na tatizo la upungufu wa majaji, jambo linalosababisha jaji mmoja kusikiliza mashauri mengi kwa mwaka.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete ateua Majaji wawili wa Mahakama ya Rufaa

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani kuanzia Jumamosi iliyopita, Aprili 24, 2015, taarifa iliyotolewa Dar es Salaam, jana, Alhamisi, Aprili 30, 2025 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) imesema.

Taarifa hiyo imewataja wajaji hao kuwa ni Jaji  Augustine Gherabast Mwarija na Jaji Stella Ester Augustine Mugasha, ambao wote wamekuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tokea...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ATEUA MAJAJI WAWILI WA MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA



Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani kuanzia Jumamosi iliyopita, Aprili 24, 2015, taarifa iliyotolewa Dar es Salaam, jana Alhamisi, Aprili 30, 2015 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) imesema.


Taarifa hiyo imewataja wajaji hao kuwa ni Jaji  Augustine Gherabast Mwarija na Jaji Stella Ester Augustine Mugasha, ambao wote wamekuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tokea...

 

10 years ago

Michuzi

MAJAJI WA MAHAKAMA YA TANZANIA WAFUNDWA JUU YA USIKILIZAJI WA MASHAURI YA UCHAGUZI

Na Mary Gwera, MahakamaJAJI Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman amewataka Majaji nchini kujiandaa na usikilizaji wa mashauri/kesi za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Hayo yalisemwa katika risala yake iliyosomwa na Mhe. Jaji Edward Rutakangwa, Jaji wa Mahakama ya Rufaa (T) kwa niaba ya Mhe. Jaji Mkuu, Mohamed Chande Othman alipokuwa akifungua rasmi Warsha ya siku mbili (2) ya Uhamasishaji wa Wahe. Majaji juu ya utatuzi wa migogoro ya Uchaguzi “Judges Sensitization...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: JK ATEUA MAJAJI WAWILI WA MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani kuanzia Jumamosi iliyopita, Aprili 24, 2015, taarifa iliyotolewa Dar es Salaam, leo, Alhamisi, Aprili 30, 2025 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) imesema.


Taarifa hiyo imewataja wajaji hao kuwa ni Jaji  Augustine Gherabast Mwarija na Jaji Stella Ester Augustine Mugasha, ambao wote wamekuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tokea...

 

10 years ago

Vijimambo

MAJAJI WAENDESHA MAHAKAMA YA WAZI KUSIKILIZA NA KUPOKEA MALALAMIKO YA WAKULIMA

Jaji Mh. Richard Mziray Akitoa Hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani