Jaji Warioba: Ninapigwa vita
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema licha ya kushambuliwa kwa mambo ya msingi anayozungumza kuhusu Katiba Mpya hakuna mtu aliyejitokeza kumjibu hoja zake, zaidi kumpiga vita kwa kutumia njia wanazo jua.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s72-c/1.jpg)
JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE
![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-D6jzGhxpqTw/VgFSU7wmRFI/AAAAAAAAn6U/Tt1AlaI5QWY/s640/3.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Jaji Msumi hajajifunza kwa Jaji Warioba?
BAADA ya kusikia matusi, kejeli na mipasho toka kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba dhidi ya Jaji Joseph Warioba, sasa macho na masikio tunaelekeza kwa Jaji mstaafu Hamis Msumi...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s72-c/1.jpg)
JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA
![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-wj5l-WSI6eA/VgFSUm3kmGI/AAAAAAAAn6Y/SduVxz1S-9c/s640/2.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Jaji Warioba afura
WAKATI vita ya maneno ya mjadala wa rasimu ya pili ya katiba ikipiganwa nje na ndani ya Bunge, huku Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiendelea kumshambulia Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko...
10 years ago
Mtanzania04 Oct
Jaji Warioba: Najipanga
![Jaji Joseph Warioba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jaji-Warioba.jpg)
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba
Na Waandishi Wetu
SIKU moja baada ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa kupitishwa na Bunge Maalumu la Katiba, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ameibuka na kusema kwamba atazungumza baada ya kuisoma Katiba hiyo iliyopendekezwa.
Juzi baada ya Bunge hilo kupitisha Katiba inayopendekezwa, wananchi wa kada mbalimbali, viongozi wa kisiasa, dini, wasomi na baadhi ya taasisi walionyesha wazi kutofautiana, wengine...
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
JK amemchuuza Jaji Warioba
NILIPOONA Rais Jakaya Kikwete akilihutubia na kulizindua Bunge Maalum la Katiba, huku akiikosoa rasimu ya pili iliyowasilishwa kwake na Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba,...
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
Wafugaji wampongeza Jaji Warioba
MAKUNDI mbalimbali hususan ya wafugaji yamempongeza Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, kwa kutaka kundi la wafugaji litambuliwe kikatiba. Mmoja wa wafugaji aliyezungumza na Tanzania Daima,...
10 years ago
Mtanzania12 Sep
Jaji Warioba: Bunge lisitishwe
![Jaji Joseph Warioba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jaji-Warioba.jpg)
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba
WAANDISHI WETU, DAR NA DODOMA
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema ni vyema Bunge Maalumu la Katiba likasitishwa kwani Katiba bora haiwezi kupatikana kwa muda wa wiki mbili.
Kauli hiyo ya Jaji Warioba imekuja siku moja baada ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kumtaka Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, kulisitisha, huku mwenyewe akisema litaendelea na hadi kufikia Oktoba 4 Katiba inayopendekezwa...
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Jaji Warioba: Namshangaa Sitta