Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAMANI, MNAKULA GIZANI MNAMFICHA NANI?

Mmh jamani ndiyo nini kuninunia kwa kusema ukweli? Siku zote dawa ya jipu ni kulitumbua kwani ukilionea huruma utamuongezea maumivu mgonjwa  wa jipu.Nataka kukwambia kitu kimoja kwamba chuki nichukie roho yangu niachie, wee sema wee na upige mayowe lakini ukweli utabaki palepale, kaniki haiwezi kubadilika rangi  na kuwa nyeupe, ujumbe umefika au siyo? Natamani kucheka kwa jicho unalonikata na huku ukijisemea moyoni mwako...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JAMANI, MNAKULA GIZANI MNAMFICHA NANI?-2

MPENZI msomaji wa safu hii ni wiki nyingine tena tunakutana, karibu tuendelee na sehemu ya mwisho ya mada yetu tuliyoianza wiki iliyopita. Jamani kuhema au kuzungumza kwa raha hutuongezea raha na kutufanya tuione safari kuwa ni fupi hata kama ni ndefu.
Umeshanipata ninaposema kusafiri kweupe kuna raha yake?  Kama hujanipata baki na ubozi wako. Wanawake tumeshazoea kuzungumza tukiwa safarini lakini wengine tuna aibu utatujua...

 

10 years ago

Bongo Movies

Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena

LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,

 je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??

 

Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema

 

“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”

 

Kwanza kabisa...

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Fahmi Dovutwa: Mwenyekiti wa chama cha UPDP

Historia yake Fahmi Nasoro Dovutwa ni Mwenyekiti wa kitaifa wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP). Alizaliwa Februari 27, 1957 mjini Kisarawe mkoani Pwani (Amefikisha miaka 58 Februari mwaka huu).

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Peter Mziray, Rais Mtendaji APPT-Maendeleo

Historia yake Peter Mziray ni Rais Mtendaji wa Chama cha APPT Maendeleo, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa na kitaaluma ni mtaalamu wa mifugo na uchumi wa kilimo.

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Profesa Ibrahim Lipumba: Mwenyekiti wa CUF

Ibrahim Lipumba ni mchumi wa kimataifa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF). Alizaliwa Juni 6, 1952 katika Kijiji cha Ilolangulu mkoani Tabora.

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: DK Willibroad Slaa: Katibu Mkuu wa Chadema

Historia yake Dk Willibrod Slaa ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Slaa alizaliwa Oktoba 29, 1948 kijijini Kwermusi, Wilaya ya Mbulu (Oktoba atafikisha umri wa miaka 67). Slaa alisoma Shule ya Msingi Kwermusi iliyoko wilayani Mbulu mwaka 1958-1961 na baadaye Shule ya Kati (Middle School) ya Karatu kati ya mwaka 1962-1965.

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM: Dk Ashatu Kijaji – Naibu Waziri Fedha na Mipango

Dk Ashatu Kijaji ndiye Naibu Waziri wa Fedha na Mipango katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mawaziri la mwanzo la Rais John Pombe Magufuli. Kiongozi huyu mwanamama na kijana ameteuliwa katika nafasi hii kwa kuwa yeye ni mbunge wa kuchaguliwa kutoka jimbo la Kondoa Vijijini liliko mkoani Dodoma. Kabla hajawa mbunge Kijaji amekuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu.

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Dk Suzan Kolimba – Naibu Waziri Mambo ya Nje

Dk Suzan Kolimba ndiye Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli, yeye hakuwa mbunge wa kuchaguliwa wala wa viti maalumu, kwa hiyo uteuzi wake katika ngazi ya unaibu waziri unamaanisha moja kwa moja kuwa Rais ameshamteua kuwa mbunge.

 

10 years ago

Mwananchi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani