Jamhuri imesema uongo kuhusu polisi — Profesa Lipumba
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba amesema Jamhuri inasema uongo kwamba Jeshi la Polisi liliwanyima kibali cha kuandamana na kwamba akiwa na msafara wa magari alifuatana na wafuasi wake kuelekea Mbagala Zakhem.
Profesa Lipumba anadai si kweli kwamba walifanya maandamano, ispokuwa walipigwa tu wao na wala hawakukamatwa wakiwa katika maandamano.
Alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NFpLPbeZNYDfIOh8pUWsaizlXUsTSe*yfo8voTH28ylI*ylP2SDDPESTNmH-I3JgVFNv0uayjlXBjf3DyZBYxvRcn6SK4Klh/mnyika2.jpg)
KAULI KUHUSU UONGO WA WAZIRI PROFESA MUHONGO
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Profesa Lipumba: Sitasahau siku polisi waliponivunja mkono
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Lipumba kumwona JK kuhusu ubabe wa polisi
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0NnbyC9fgxg/Xn3m8An5VzI/AAAAAAALlSg/23AuC6e-pvUhOseL5DzpwNFXwdr81r-8ACLcBGAsYHQ/s72-c/39a1c201-bb67-4b73-aa44-3876b031b88d.jpg)
JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM YAWASHIKILIA MUME,MKE KWA TUHUMA ZA KUENEZA TAARIFA ZA UONGO KUHUSU CORONA
Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linawashikilia watu wawili ambao ni mume na mke kwa tuhuma na kueneza taarifa za uongo kwa wananchi kuhusu ugonjwa COVID-19(Corona) na kwamba watafikishwa mahakamani wakati wowote.
Akizungumza leo Machi 27 mwaka 2020 ,Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema watu hao wamekamatwa Machi 20 mwaka huu saa saba mchana wakiwa kwenye daladala aina ya Toyota DCM...
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Profesa Lipumba avuruga Bunge
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Profesa Lipumba: Nitaibeba Ukawa
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahimu Lipumba amesema anatosha kugombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) iwapo atapewa nafasi hiyo na vyama washirika.
Amesema anawania nafasi hiyo huku kujiona ni mgombea pekee anayeweza kuwaunganisha Watanzania na kwamba ndiye aliasisi jina la Ukawa wakati wa Bunge Maalumu la Katiba.
Akizungumza Dar es Salaam jana baada ya kuchukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
10 years ago
BBCSwahili28 Jan
Profesa Lipumba afikishwa mahakamani
10 years ago
Mtanzania07 Aug
Profesa Lipumba aondoka nchini
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
SAA chache baada ya Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza kujiuzulu wadhifa wa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ametoweka nchini.
Hata hivyo, haikufahamika mara moja amekwenda nchi gani na atakaa kwa muda gani.
Profesa Lipumba aliondoka nchini baada ya kumaliza mkutano wake na waandishi wa habari katika Hoteli ya Peacok jijini Dar es Salaam, ambako alitangaza kujiondoa katika chama chake na katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Taarifa...
10 years ago
BBCSwahili28 Jan
Profesa Lipumba awekwa kizuizini