Jammeh atangaza Gambia kuwa nchi ya Kiislamu
Rais wa Gambia Yahya Jammeh ametangaza taifa hilo lenye Waislamu wengi kuwa jamhuri ya Kiislamu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCVIDEO: Who is Gambia's Yahya Jammeh?
10 years ago
Bongo503 Mar
Wizkid amkosha Rais wa Gambia kwenye sherehe za Uhuru wa nchi hiyo, Rais amuomba arudie show siku iliyofata
9 years ago
Habarileo21 Sep
Shein atangaza elimu kuwa kipaumbele
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema sekta ya elimu itapewa kipaumbele cha kwanza akirejea madarakani. Pamoja na kipaumbele hicho, mgombea huyo ametangaza kufuta ada na michango yote kwa wanafunzi wa sekondari na kuahidi kujenga Chuo kikuu kipya Dole, Unguja.
10 years ago
BBCSwahili31 Dec
Rais Jammeh:'Bado niko mamlakani'
9 years ago
GPLRAIS JK ATANGAZA KESHO KUWA SIKUKUU NA SIKU YA MAPUMZIKO
9 years ago
Bongo504 Nov
Kikwete atangaza kesho (Alhamisi) kuwa siku ya mapumziko
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameamua na ameitangaza kesho, Alhamisi, Novemba 5, mwaka huu, 2015, kuwa Sikukuu na siku ya mapumziko.
Rais Kikwete amefanya uamuzi huo, ili kuwawezesha Watanzania kushiriki katika sherehe za kuhitimisha Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nne na kuingizwa madarakani Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Dar es Salaam leo...
10 years ago
GPLWAKALA WA HUDUMA ZA AJIRA ATANGAZA UTARATIBU WA KUZINGATIA KUUNGANISHWA NA FURSA NJE YA NCHI
9 years ago
CHADEMA BlogFredrick Sumaye Atangaza Rasmi kuwa Mwanachama wa Chadema.........Akabidhiwa Kadi na Mbowe
10 years ago
CloudsFM29 Jun
Manji Atangaza Kuwa Atajiuzulu yanga iwapo Aliyosema Mengi yatakuwa ni Kweli
Manji amezungumza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Yanga, jana na kueleza hayo huku akisisitiza kumtaka Mengi ajitokeze na wakutane kwa ajili ya kufanya mdahalo wa wazi ambao utadhibitisha kuhusiana na tuhuma hizo.
Alisema kuendelea...