Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Janet Sosthenes Mwenda aja na ujio wa kipindi kipya cha “Tuwalinde watoto wetu” Clouds tv

mwendaPichani: Bi. Janet Sosthenes Mwenda

Na Andrew Chale, Modewjiblog

(Dar es Salaam). Mmiliki na Mweneshaji wa kipindi cha ‘Ongea na Janet’ Bi. Janet Sosthenes Mwenda kwa sasa anakuja na ujio mpya wa kipindi kinachoelezea masuala ya kuwalinda Watoto kwa kutoa elimu kiitwacho ‘Tuwalinde Watoto Wetu’ ambacho kinatarajiwa kuonekana kupitia kituo cha televisheni cha Clouds Tv na baadae pia  ndani ya chaneli za Dstv.

Tuwalinde Watoto Wetu, kipindi kipya na cha kwanza kwa upande wa televisheni (Tv...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

JANET SOSTHENES MWENDA NA UJIO MPYA WA 'TUWALINDE WATOTO WETU' NDANI YA CLOUDS TV

mwendaPichani: Bi. Janet Sosthenes Mwenda
Mmiliki-na-Mweneshaji-wa-kipindi-cha-Ongea-na-Janet-Bi.-Janet-Sosthenes-Mwenda.Janet MwendaJanet Sosthenes Mwenda ni Mmiliki na Mweneshaji wa kipindi cha 'Ongea na Janet Tv Show' ni mwanahabari mwenye taaluma ya Utangazaji na uandaaji wa vipindi mbalimbali kupitia vipindi mbalimbali vya Radio na Tv huku akiwa ni miongoni mwa watangazaji waliojizolea umaarufu mkubwa kutokana na vipindi vyake vya tv na radio kwa muda mrefu sasa.
“..KAA TAYARI KWA UJIO WA KIPINDI HIKI KIPYA, UNGANA NA JANET KUWALINDA WATOTO WETU!”
Dada Janet Sosthenes  Mwenda wa Ongea na Janet akicheza mpira na watoto.Jenet akicheza mpira na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kipindi cha Tuwalinde Watoto Wetu kuruka tena Alhamisi hii, Clouds TV

janeth 2

Mmiliki na mwendeshaji wa kipindi cha Tuwalinde Watoto Wetu, Janet Mwenda.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kipindi cha Tuwalinde Watoto Wetu kilichokuwa kikirushwa na Clouds TV, Alhamisi ya wiki hii kinatarajiwa kuanza tena kuonekana kupitia Clouds TV Alhamisi ya Disemba 10, saa tatu kamili usiku.

Akizungumza na Dewjiblog, Mmiliki na mwendeshaji wa kipindi hicho, Janet Mwenda amesema kuwa kipindi cha Alhamisi hii kinatarajiwa kuja na kitu kipya tofauti na vile walivyokizoea kuonekana hapo awali...

 

9 years ago

Habarileo

Clouds kuanzisha kipindi cha kulinda watoto

KITUO cha televisheni cha Clouds kinatarajiwa kuanza kurusha kipindi kinachoelezea masuala ya kulinda watoto ambao kwa sasa wanakabiliwa na changamoto mbalimbali, nyingi zikitokana na wazazi au walezi.

 

10 years ago

GPL

MAKONDA AZINDUA KISIMA CHA MAJI SAFI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA WATOTO WETU TANZANIA KILICHOJENGWA NA KAMPUNI YA SIMU YA ZANTEL

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Pratap Ghose (katikati), akimkaribisha  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda wakati akiwasili kwenye hafla ya kuzindua kisima cha maji safi katika Kituo cha Watoto Yatima cha Watoto Wetu Tanzania kilichopo Mbezi Suka Dar es Salaam jana. DC Makonda akisaini katika kitabu cha wageni katika kituo hicho.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

DC WA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA KISIMA CHA MAJI SAFI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA WATOTO WETU TANZANIA KILICHOJENGWA NA KAMPUNI YA SIMU YA ZANTEL.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Pratap Ghose (katikati), akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda wakati akiwasili kwenye hafla ya kuzindua kisima cha maji safi katika Kituo cha Watoto Yatima cha Watoto Wetu Tanzania kilichopo Mbezi Suka Dar es Salaam jana.DC Makonda akisaini katika kitabu cha wageni katika kituo hicho.Mmoja wa vijana wa kituo hicho akiigiza igizo kuonesha changamoto zinazowakabili watoto waishio katika mazingira hatarishi.Mkuu wa Kituo cha...

 

10 years ago

CloudsFM

MAANDALIZI YA KIPINDI CHA MAHUSIANO CHA CLOUDS TV YAKIENDELEA ''LOCATION''

Washiriki wa kipindi cha Mahusiano cha Clouds Tv,Mwinjaku na Rachel wakiwa Location wakirekodi kipindi.

 

9 years ago

Michuzi

Utambulisho wa kipindi kipya cha Televisheni cha Kiswahili Washington DC

Mwakilishi wa balozi, ambaye pia ni Mkuu wa utawala na Fedha wa ubalozi, Swahiba Mndeme, akisalimia wageni wakati wa utambulishoMkuu wa utawala na Fedha wa ubalozi, Swahiba Mndeme akitambulisha rasmi kipindi hicho
Mmoja wa washiriki wa Jambo Show Radio inayotayarishwa na Swahili Media Network, Sala DamaliMwanzilishi wa Jambo Show Steven Mghaza akielezea kipindi hicho kwa wageni waalikwaMeneja masoko wa CBC Radio hapa Washington DC R.J Trzaska akielezea umuhimu wa radio kwa jamii yetu na...

 

9 years ago

Vijimambo

KIPINDI KIPYA CHA RADIO CHA SWAHILI HIP HOP

Kilimanjaro Studio sasa kuja na kipindi kipya cha muziki wa kizazi kipya kila siku ya Jumamosi saa 4 asubuhi kwa saa za Amerika ya mashariki mtayarishaji wa kipindi na mtangazaji ni Buheti AbdulrahmanKipindi hiki kitakuwezesha kujua mambo gani yaliyojiri kila wiki kuhusiana na muziki na wanamuziki wa Bongo Flava na nafasi pekee ya kuweza kuburudika na muziki wa Bongo Flava huku ukipata historia ya wanamuziki hao, kila siku ya Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio unweza kutupata kupitia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani