Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAANDALIZI YA KIPINDI CHA MAHUSIANO CHA CLOUDS TV YAKIENDELEA ''LOCATION''

Washiriki wa kipindi cha Mahusiano cha Clouds Tv,Mwinjaku na Rachel wakiwa Location wakirekodi kipindi.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TCRA YAKITOZA FAINI KITUO CHA TELEVISHENI CHA CLOUDS TV NA RADIO CLOUDS FM KWA KUKIUKA MAUDHUI YA UTANGAZAJI

Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Margaret Munyagi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Agosti 22, 2014 jijini Dar es Salaam, wakati akisoma maamuzi yaliyofikiwa na Mamlaka hiyo kuhusu shauri la ukiukaji wa kanuni za utangazaji namba 5/2014 dhidi ya Kituo cha Televisheni cha Clouds na Kituo cha Clouds Intertainment FM Radio cha Dar es Salaam. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati hiyo, Bgoya Walter.Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui ya...

 

9 years ago

Habarileo

Clouds kuanzisha kipindi cha kulinda watoto

KITUO cha televisheni cha Clouds kinatarajiwa kuanza kurusha kipindi kinachoelezea masuala ya kulinda watoto ambao kwa sasa wanakabiliwa na changamoto mbalimbali, nyingi zikitokana na wazazi au walezi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kipindi cha Tuwalinde Watoto Wetu kuruka tena Alhamisi hii, Clouds TV

janeth 2

Mmiliki na mwendeshaji wa kipindi cha Tuwalinde Watoto Wetu, Janet Mwenda.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kipindi cha Tuwalinde Watoto Wetu kilichokuwa kikirushwa na Clouds TV, Alhamisi ya wiki hii kinatarajiwa kuanza tena kuonekana kupitia Clouds TV Alhamisi ya Disemba 10, saa tatu kamili usiku.

Akizungumza na Dewjiblog, Mmiliki na mwendeshaji wa kipindi hicho, Janet Mwenda amesema kuwa kipindi cha Alhamisi hii kinatarajiwa kuja na kitu kipya tofauti na vile walivyokizoea kuonekana hapo awali...

 

9 years ago

Dewji Blog

Janet Sosthenes Mwenda aja na ujio wa kipindi kipya cha “Tuwalinde watoto wetu” Clouds tv

mwendaPichani: Bi. Janet Sosthenes Mwenda

Na Andrew Chale, Modewjiblog

(Dar es Salaam). Mmiliki na Mweneshaji wa kipindi cha ‘Ongea na Janet’ Bi. Janet Sosthenes Mwenda kwa sasa anakuja na ujio mpya wa kipindi kinachoelezea masuala ya kuwalinda Watoto kwa kutoa elimu kiitwacho ‘Tuwalinde Watoto Wetu’ ambacho kinatarajiwa kuonekana kupitia kituo cha televisheni cha Clouds Tv na baadae pia  ndani ya chaneli za Dstv.

Tuwalinde Watoto Wetu, kipindi kipya na cha kwanza kwa upande wa televisheni (Tv...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hukumu kwa Clouds Radio na TV ukiukwaji wa kanuni za utangazaji kipindi cha Bibi Bomba na njia panda

10492481_10202574900320231_1094175545817198175_n

Mwenyekiti wa Kamati Maudhui Eng. Margaret Munyagi (wa pili kulia), akisoma hukumu dhidi ya Could FM na Clouds TV kuhusu uvunjwaji wa kanuni za utangazaji.. Wengine toka kushoto, Abdul Ngarawa, Joseph Mapunda na Walter Bugoya.(Picha kwa hisani ya Innocent Mungy wa TCRA).

Rulling Clouds Fm Radio by moblog

 

10 years ago

Michuzi

KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA AMANI ORPHANAGE CENTER CHA POKEA ZAWADI NA MSAADA WA MAANDALIZI YA KRISMASI KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF.

Kushoto ni Meneja wa Pwani wa PSPF Msafiri S. Mugaka  akiwa na Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani wakiwakabidhi zawadi ya Mbuzi  kwa ajilli ya Krismasi watoto wa kituo cha kulelea yatima cha Amani Orphanage Centre tarehe 5.12.2014 Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani akimkabidhi zawadi ya vinywaji mmoja wa watoto katika kituo hicho Meneja wa Pwani wa PSPF Msafiri S. Mugaka akimkabidhi mmoja wa watoto msaada wa mafuta ya kupikia kwa niaba ya watoto wenzake walipo watembelea katika...

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani