Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAPANI YASAIDIA WAKIMBIZI TANZANIA‏

Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh. Mathias Chikawe akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa WFP nchini Bw.Richard Ragan (katikati) mara baaada ya kuwasili kwenye hafla fupi ya kukabidhi msaada wa dola za kimarekani milioni 1.4, kwa shirika la Chakula duniani (WFP) kwa ajili ya kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu mkoani Kigoma. Kulia ni Balozi wa Japan nchini, Mh. Masaki Okada.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Japani yasaidia Wakimbizi Tanzania

DSC_0056

Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya  nchi Mh. Mathias Chikawe akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa WFP nchini Bw.Richard Ragan (katikati) mara baaada ya kuwasili kwenye hafla fupi ya kukabidhi msaada wa dola za kimarekani milioni 1.4, kwa shirika la Chakula duniani (WFP) kwa ajili ya kambi ya wakimbizi  ya Nyarugusu mkoani Kigoma. Kulia ni Balozi wa Japan nchini, Mh. Masaki Okada.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog)

Na Mwandishi wetu

Serikali ya Japan imetoa msaada wa dola za kimarekani...

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA YAPOKEA BILIONI 210 KUTOKA JAPANI

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile na Balozi wa Japani nchini Bw. Masaharu Yoshida wakibadilishana hati ya mkataba wa mkopo wa Shilingi Bilioni 210 kwa ajili ya mradi wa Umeme kati ya Tanzania na Kenya.Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile na Balozi wa Japani nchini Bw.Masaharu Yoshida wakisaini mkataba wa mkopo. Nyuma yao kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eng. Omar Chambo, kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Japani Seiji Kihara wakishuhudia...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUTANO KATI YA SERIKALI YA TANZANIA NA YA JAPANI JUU YA MIRADI YA MAENDELEO

Mhandisi Happiness Mgalulla, Naibu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais Tume ya Mipango (aliyesimama) akisoma hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano huo. Kushoto kwake ni Bw. Maduka Kessy, Naibu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais Tume ya Mipango. Wengine ni Bibi Florence Mwanri, Naibu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais Tume ya Mipango (wa kwanza kulia), Bw. Paul Sangawe, Naibu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais Tume ya Mipango (wa tatu kulia). Picha na maelezo na Thomas Nyindo Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI YA TTCL YASAIDIA MIFUKO YA SARUJI KITUO CHA YATIMA‏

Kaimu Mkuu wa Biashara TTCL Kanda ya Dar es Salaam, Bw. David Dirisha (wa pili kulia) akiwakabidhi watoto wa Kituo cha watoto yatima cha Mama wa Huruma, kilichopo eneo la Madale Wazo Hill nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Kaimu Mkuu wa Biashara TTCL Kanda ya Dar es Salaam, Bw. David Dirisha (wa kwanza kulia waliosimama) akizungumza na watoto wa Kituo cha watoto yatima cha Mama wa Huruma, kilichopo eneo la Madale Wazo Hill nje...

 

10 years ago

GPL

INSPEKTA PRICA KOMBA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI‏

Baadhi ya watoto wanaoishi katika kambi ya wakimbizi iliyopo Nyarugusu wilaya ya Kasuru Mkoa wa Kigoma,wakifurahia jambo na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni anayesimamia Dawati la jinsia, Inspekta Prica Komba (kulia)alipotembelea kambi hiyo  chini ya udhamini wa Vodacom Foundation kwenda kutathmini kama kuna unyanyasaji wa kijinsia  miongoni mwa wakimbizi wa Burundi na Kongo waliopo katika kambi hiyo. ...

 

10 years ago

GPL

DUNIA YATAZAMA WAKIMBIZI NYARUGUSU, WA MTABILA WAREJEA TENA‏

Mkuu wa Kambi ya Wakimbizi Nyarugusu iliyopo wilayani Kasulu, mkoani Kigoma, Sospeter Christopher Boyo (aliyesimama mwenye shati la kitenge) akisoma taarifa fupi ya Kambi ya Nyarugusu kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mathias Chikawe (aliyeketi mwenye suti ya kijivu) aliyeambatana na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez mara...

 

10 years ago

GPL

MRATIBU WA UN NCHINI NA MH. CHIKAWE WATEMBELEA ENEO LA MAPOKEZI YA WAKIMBIZI MJINI KIGOMA‏

Foleni ya Wakimbizi kutoka Burundi kuelekea kwenye mabasi maalum yaliyoandaliwa na Shirika la IOM kuwapeleka kwenye eneo maalum la kambi ya Nyarugusu iliyopo wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mathias Chikawe (wa tatu kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hispania yasaidia bilioni 3.1/- kukabili umaskini Tanzania

IMG_0820

Balozi wa Spain nchini, Mh. Luis Cuesta Civis (kulia) na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez (katikati) wakiwasili kwenye ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo kabla ya ziara ya kuelekea katika kijiji cha Chasimba kukagua miradi inayofadhiliwa na TASAF  katika wilaya ya Bagamoyo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Ladislaus Mwamanga.(Picha na Zainul Mzige wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani