Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hispania yasaidia bilioni 3.1/- kukabili umaskini Tanzania

IMG_0820

Balozi wa Spain nchini, Mh. Luis Cuesta Civis (kulia) na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez (katikati) wakiwasili kwenye ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo kabla ya ziara ya kuelekea katika kijiji cha Chasimba kukagua miradi inayofadhiliwa na TASAF  katika wilaya ya Bagamoyo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Ladislaus Mwamanga.(Picha na Zainul Mzige wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sh70 bilioni kupambana na umaskini

 Serikali imetenga Sh70 bilioni katika mwaka wa fedha 2014/15 ili kutekeleza awamu ya tatu ya mpango wa kunusuru kaya maskini nchini ambazo zinaishi chini ya mlo mmoja kwa siku.

 

10 years ago

Habarileo

Zatengwa bilioni 1/- kukabili ukame

OFISI ya Waziri Mkuu kwa ufadhili wa Benki ya Dunia inatarajia kutumia zaidi ya Sh bilioni moja kupunguza athari za ukame uliokithiri katika halmashauri za wilaya za Same, mkoani Kilimanjaro na Kishapu mkoani Shinyanga.

 

10 years ago

Habarileo

Bilioni 800/- kukabili uhaba wa maji Chalinze

Ridhiwani KikweteCHANGAMOTO ya maji wilayani Bagamoyo mkoani Pwani huenda ikawa historia baada ya serikali ya India kutoa kiasi cha Sh bilioni 800 kwa ajili ya mradi wa maji wa Wami Chalinze.

 

5 years ago

Michuzi

GGML yamkabidhi Waziri Ummy Sh bilioni 1.1 kukabili Corona


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, amepokea hundi ya Sh bilioni 1.1 kutoka kwa Kampuni ya Uchimbaji Madini Geita (GGML) ili kukabiliana na mapambano dhidi ya maambukizi ya Corona.

Pia ametoa wito kwa viwanda vya ndani kuchangamkia fursa za uzalishaji wa vifaa tiba na kinga dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 kutokana na fedha zinazochangwa na makampuni mbalimbali nchini.

Waziri Ummy ametoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam, wakati akipokea hundi hiyo kutoka GGML ambayo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Japani yasaidia Wakimbizi Tanzania

DSC_0056

Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya  nchi Mh. Mathias Chikawe akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa WFP nchini Bw.Richard Ragan (katikati) mara baaada ya kuwasili kwenye hafla fupi ya kukabidhi msaada wa dola za kimarekani milioni 1.4, kwa shirika la Chakula duniani (WFP) kwa ajili ya kambi ya wakimbizi  ya Nyarugusu mkoani Kigoma. Kulia ni Balozi wa Japan nchini, Mh. Masaki Okada.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog)

Na Mwandishi wetu

Serikali ya Japan imetoa msaada wa dola za kimarekani...

 

11 years ago

GPL

JAPANI YASAIDIA WAKIMBIZI TANZANIA‏

Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh. Mathias Chikawe akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa WFP nchini Bw.Richard Ragan (katikati) mara baaada ya kuwasili kwenye hafla fupi ya kukabidhi msaada wa dola za kimarekani milioni 1.4, kwa shirika la Chakula duniani (WFP) kwa ajili ya kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu mkoani Kigoma. Kulia ni Balozi wa Japan nchini, Mh. Masaki Okada.… ...

 

11 years ago

Michuzi

MKAZO UELEKEZWE KATIKA KUPUNGUZA UMASKINI WA VIJIJINI-TANZANIA

Na Mwandishi Maalum, New York Wakati Taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ikionyesha ongezeko la watu wanaoishi katika umaskini Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania imetaka utekelezaji wa Malengo Mapya ya Maendelevu Endelevu baada ya 2015 ujielekeze zaidi katika kuukabili umaskini wa vijijini. Muwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi, ameyasema hayo siku ya jumatano wakati alipokuwa akichangia majadiliano ya Taarifa ya ...

 

10 years ago

Vijimambo

Je, unadhani nini hasa chanzo cha umaskini Tanzania?


Tanzanite, Dhahabu, makaa ya mawe, almasi, urani, Mbuga za wanyama kama vile serengeti, Manyara, Ngorongoro, ardhi yenye rutuba, Mlima Kilimanjaro, maziwa makubwa matatu, bahari ya hindi na utajiri mwingine mwingi, hivi vyote vinapatikana ndani ya Tanzania lakini ajabu wananchi wake wengi ni maskini sana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani