Zatengwa bilioni 1/- kukabili ukame
OFISI ya Waziri Mkuu kwa ufadhili wa Benki ya Dunia inatarajia kutumia zaidi ya Sh bilioni moja kupunguza athari za ukame uliokithiri katika halmashauri za wilaya za Same, mkoani Kilimanjaro na Kishapu mkoani Shinyanga.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo02 Aug
Bilioni 13/- zatengwa kwa barabara
SERILKALI imetenga zaidi ya Sh bilioni 13.07 kutengeneza barabara kuukuu za mkoa na sehemu ya barabara za halmashauri mkoa wa Rukwa kwa mwaka wa fedha 2014/15.
9 years ago
Habarileo17 Dec
Bilioni 131/- zatengwa elimu bure
RAIS John Magufuli amewahakikishia Watanzania kuwa fedha kwa ajili ya kutimiza ahadi ya kutoa elimu bure kwa shule za msingi na sekondari, zimetengwa Sh bilioni 131 mwezi huu na kupelekwa moja kwa moja katika shule husika.
10 years ago
Dewji Blog10 Jun
Hispania yasaidia bilioni 3.1/- kukabili umaskini Tanzania
Balozi wa Spain nchini, Mh. Luis Cuesta Civis (kulia) na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez (katikati) wakiwasili kwenye ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo kabla ya ziara ya kuelekea katika kijiji cha Chasimba kukagua miradi inayofadhiliwa na TASAF katika wilaya ya Bagamoyo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Ladislaus Mwamanga.(Picha na Zainul Mzige wa...
10 years ago
Habarileo18 Dec
Bilioni 800/- kukabili uhaba wa maji Chalinze
CHANGAMOTO ya maji wilayani Bagamoyo mkoani Pwani huenda ikawa historia baada ya serikali ya India kutoa kiasi cha Sh bilioni 800 kwa ajili ya mradi wa maji wa Wami Chalinze.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0kxgOh3uIYM/XrL6JO4ejGI/AAAAAAALpVA/BVSKZz2I0c45FSzi8so-0hQaMVwWpHMswCLcBGAsYHQ/s72-c/thumbnail.jpg)
GGML yamkabidhi Waziri Ummy Sh bilioni 1.1 kukabili Corona
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, amepokea hundi ya Sh bilioni 1.1 kutoka kwa Kampuni ya Uchimbaji Madini Geita (GGML) ili kukabiliana na mapambano dhidi ya maambukizi ya Corona.
Pia ametoa wito kwa viwanda vya ndani kuchangamkia fursa za uzalishaji wa vifaa tiba na kinga dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 kutokana na fedha zinazochangwa na makampuni mbalimbali nchini.
Waziri Ummy ametoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam, wakati akipokea hundi hiyo kutoka GGML ambayo...
11 years ago
Habarileo13 Jul
Bil 3/- zatengwa kununua kivuko Pangani
SERIKALI imetenga kiasi cha Sh bilioni tatu katika bajeti ya mwaka huu wa fedha kwa ajili ya kununua kivuko cha pili cha Mv Pangani.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Rais Kikwete alipohutubia wakazi wa kijiji cha Bweni wilayani Pangani baada ya kuzindua mradi wa majisafi kijijini hapo.
Alisema lengo la ununuzi wa kivuko hicho ni kuendelea kuboresha huduma ya usafirishaji kwa kurahisisha ufanisi wa shughuli za uchukuzi na kiuchumi wilayani humo.
“Tumeona kuna umuhimu mkubwa wa kuongeza kivuko...
11 years ago
Habarileo10 Jul
Bil 21/- zatengwa kumaliza tatizo la vitabu sekondari
RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali imetenga Sh bilioni 21 katika bajeti ya mwaka wa fedha wa 2014/2015 kwa ajili ya kumaliza tatizo la upungufu wa vitabu kwenye shule za sekondari.
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Milioni 65/- zatengwa Mbarali kwa ajili ya wajawazito
SHILINGI milioni 65 zimetengwa mwaka huu na Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kwa ajili ya huduma ya uzazi kwa akina mama wanaofika kujifungua Hospitali ya Misheni ya Lutheran...
11 years ago
Habarileo07 Jun
Mil 200/- zatengwa kupanua kituo cha afya Kirando
SERIKALI imetenga Sh milioni 200 kwa ajili ya upanuzi wa Kituo cha Afya cha Kirando mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Nkasi mkoani Rukwa katika mwaka ujao wa fedha.