JB: Chungu cha Tatu Ina Majibu ya Hali Hii..
Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ amedokeza kuwa filamu ya Chungu cha Tatu inayomjumuisha staa mrembo, Wema Sepetu itaingia sokoni hivi karibuni.
Kupitia ukurasa wake mtandaoni, JB aliandika haya mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.
Umeshawahi kuwa katika mahusiano ambayo yalikatika lakini bado moyo wako unapenda??? Unajua kinachofata kila penzi jipya halikai maana moyo uko huko kwa mwanzo.
Chungu cha Tatu ina majibu ya hali hii, tunajaribu kuitoa filam hii haraka...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania14 Dec
JB: Chungu cha tatu ni filamu ghali zaidi
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu nchini, Jacob Stephen ‘JB’, amesema kuwa filamu yake mpya ya Chungu cha tatu aliyomshirikisha mwanadada Wema Sepetu imetumia gharama kubwa zaidi kuliko filamu zote zilizotengenezwa chini ya kampuni yake ya Jerusalem.
Akizungumza na MTANZANIA juzi, JB alisema ametumia gharama kubwa katika kufanikisha kuitengeneza filamu hiyo.
“Nikisema nitaje gharama iliyotumika na niliyowalipa wasanii nadhani TRA itawafuata, lakini nimetumia gharama kubwa mno...
10 years ago
Bongo Movies16 May
JB: Chungu cha Tatu Itajibu Maswali Mengi, Wema Ndiyo Mhusika Mkuu
Staa wa Bongo Movies ambaye ndiyo mmiliki na mkurugenzi wa kampuni ya utengenezaji wa filamu, Jerusalem Film Company, Jacob Stephen ‘JB’ amewadokeza wadau wa filamu kupitia ukurasa wake mtandaoni kuwa filamu ya ‘Tatu Chafu’ amabayo wanairekodi kwasasa itajibu maswali mengi ukizingatia kuwa mhusika mkuu kwenye filamu hiyo ni staa Wema Sepetu ambaya kila mmoja anakujua drama za staa huyu.
Wadau wa jerusalem film...bado tunaendelea na utengenezaji wa filam ya chungu cha tatu...lakini kwa...
9 years ago
Bongo518 Dec
Filamu ya ‘Chungu Cha Tatu’ yamalizika sokoni siku tatu baada ya kuachiwa
Kopi za filamu mpya ya JB na Wema Sepetu, ‘Chungu Cha Tatu’ zilizoingia sokoni Jumatatu hii zimemalizika ikiwa ni siku tatu toka iachiwe.
Akizungumza na Bongo5 Alhamis hii, JB alisema kasi ya mauzo ya filamu hiyo, ina kila dalili ya kuvunja rekodi ya filamu yake iliyopita Mzee wa Swagga.
“Filamu inaenda vizuri sana, Jumatatu baada ya kuingia sokoni masaa manne kopi zilizoingia sokoni ziliisha, Jumanne tukazalisha tena zikaisha, leo hii tumezalisha nyingine nyingi kwa sababu hata mikoani...
9 years ago
Bongo526 Sep
JB ashindwa kuiachia filamu yake mpya ‘Chungu Cha Tatu’, awaomba mashabiki wavute subira
9 years ago
Habarileo15 Oct
Zitto:ACT Wazalendo ina majibu kero ya maji
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema serikali itakayotokana na Chama hicho baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu itaanzisha mfuko wa wakala wa maji vijijini kwa ajili ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji safi na salama kwa uhakika.
10 years ago
Mwananchi19 Aug
‘Simba ya Phiri ina kasoro tatu’
11 years ago
Mwananchi31 Jul
Serikali ina njia tatu za kurejesha ‘mabilioni ya Uswisi’
10 years ago
MichuziTIMU YA WAATAALAM KUTOKA WIZARA YA UCHUKUZI WATEMBELEA KITUO CHA HALI YA HEWA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE (JNIA) NA UJENZI WA JENGO LA TATU LA ABIRIA (TERMINAL III)
10 years ago
Bongo Movies24 May
Mapenzi Yampa Ulaji Wema ‘Chungu cha 3’
Muigizaji na Muongozaji mkongwe wa bongo movies, Jacob Stephen ‘jb, amesema aliamua kumpa uchezajui mkuu wa filamu yake ya CHUNGU CHA TATU staa mrembo Wema Sepetu kutokana na umahiri wa masanii huyu kwas sababu amemudu sana sehemu za nmapenzi.
Aidha, Jb alisema Wema huwa makini katika uigizaji wa nafasi yake anayopangiwa na pia ni mwepesi wa kukubali kuwekwa katika kila sehemu atakayoambiwa acheze.
Watu watarajie mambo mazuri kutoka katika filamu ya chungu cha tatu ambayo itakuwa...