Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JB: Chungu cha Tatu Itajibu Maswali Mengi, Wema Ndiyo Mhusika Mkuu

Staa wa Bongo Movies  ambaye ndiyo mmiliki na mkurugenzi wa kampuni ya utengenezaji wa  filamu,  Jerusalem Film Company, Jacob Stephen  ‘JB’ amewadokeza wadau wa filamu kupitia ukurasa wake mtandaoni kuwa filamu ya ‘Tatu Chafu’ amabayo wanairekodi kwasasa itajibu maswali mengi ukizingatia kuwa mhusika mkuu kwenye filamu hiyo ni staa Wema Sepetu ambaya kila mmoja anakujua drama za staa huyu.

Wadau wa jerusalem film...bado tunaendelea na utengenezaji wa filam ya chungu cha tatu...lakini kwa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

JB: Chungu cha tatu ni filamu ghali zaidi

jbNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

MSANII wa filamu nchini, Jacob Stephen ‘JB’, amesema kuwa filamu yake mpya ya Chungu cha tatu aliyomshirikisha mwanadada Wema Sepetu imetumia gharama kubwa zaidi kuliko filamu zote zilizotengenezwa chini ya kampuni yake ya Jerusalem.

Akizungumza na MTANZANIA juzi, JB alisema ametumia gharama kubwa katika kufanikisha kuitengeneza filamu hiyo.

“Nikisema nitaje gharama iliyotumika na niliyowalipa wasanii nadhani TRA itawafuata, lakini nimetumia gharama kubwa mno...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB: Chungu cha Tatu Ina Majibu ya Hali Hii..

Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ amedokeza kuwa filamu ya Chungu cha Tatu inayomjumuisha staa mrembo, Wema Sepetu itaingia sokoni hivi karibuni.

Kupitia ukurasa wake mtandaoni, JB aliandika haya mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.

Umeshawahi kuwa katika mahusiano ambayo yalikatika lakini bado moyo wako unapenda??? Unajua kinachofata kila penzi jipya halikai maana moyo uko huko kwa mwanzo.

Chungu cha Tatu ina majibu ya hali hii, tunajaribu kuitoa filam hii haraka...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mapenzi Yampa Ulaji Wema ‘Chungu cha 3’

Muigizaji na Muongozaji mkongwe wa bongo movies, Jacob Stephen ‘jb,  amesema aliamua kumpa uchezajui mkuu wa filamu yake ya CHUNGU CHA TATU staa mrembo Wema Sepetu kutokana na umahiri wa masanii huyu kwas sababu amemudu sana sehemu za nmapenzi.

Aidha, Jb alisema Wema huwa makini katika uigizaji  wa nafasi yake anayopangiwa na pia ni mwepesi wa kukubali kuwekwa  katika kila sehemu atakayoambiwa acheze.

Watu watarajie mambo mazuri kutoka katika filamu  ya chungu cha tatu ambayo itakuwa...

 

9 years ago

Bongo5

Filamu ya ‘Chungu Cha Tatu’ yamalizika sokoni siku tatu baada ya kuachiwa

Chungu Cha Tatu

Kopi za filamu mpya ya JB na Wema Sepetu, ‘Chungu Cha Tatu’ zilizoingia sokoni Jumatatu hii zimemalizika ikiwa ni siku tatu toka iachiwe.

Chungu Cha Tatu

Akizungumza na Bongo5 Alhamis hii, JB alisema kasi ya mauzo ya filamu hiyo, ina kila dalili ya kuvunja rekodi ya filamu yake iliyopita Mzee wa Swagga.

“Filamu inaenda vizuri sana, Jumatatu baada ya kuingia sokoni masaa manne kopi zilizoingia sokoni ziliisha, Jumanne tukazalisha tena zikaisha, leo hii tumezalisha nyingine nyingi kwa sababu hata mikoani...

 

9 years ago

Bongo5

JB ashindwa kuiachia filamu yake mpya ‘Chungu Cha Tatu’, awaomba mashabiki wavute subira

Sio wasanii wa muziki pekee walioathirika kutokana na kampeni za siasa zinazosababisha wengi wao kushindwa kutoa kazi zao katika kipindi hiki cha uchaguzi, bali hata wasanii wa filamu. Muongozaji na muigizaji wa filamu za Bongo , Jacob ‘JB’ Stephen amewaomba mashabiki wake wavute subira kutokana na kushindwa kuiachia filamu yake mpya iitwayo ‘Chungu Cha Tatu’ […]

 

9 years ago

Bongo5

Wema Sepetu kuisaliti ndoa yake kwenye ‘Chungu Cha Tatu’

Wema Sepetu

Wema Sepetu amevaa uhusika kwenye filamu ya Chungu Cha Tatu kama mwanamke aliye ndani ya ndoa lakini anashindwa kujizuia na kuamua kutoka na wanaume wengine ili kukidhi mahitaji yake.

Wema Sepetu

Akizungumza na Bongo5, afisa masoko wa kampuni ya Steps Entertainment, Kambarake alisema filamu hiyo italeta msisimko kutokana na mwanadada huyo kuivaa vyema uhusika wake.

“Wema ndio mhusika mkuu na ameingia kwenye mahusiano anajikuta anaingia kwa mwanaume fulani labda atapata anachohitaji. Kwahiyo mapenzi...

 

9 years ago

Raia Mwema

Nani mhusika mkuu?

UTATA mkubwa umeibuka kuhusu mmiliki wa shehena ya madini ghafi ya Tanzanite yaliyokuwa yanator

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

BBCSwahili

Westgate:Maswali mengi hayajapata majibu

Huku wakenya wakiadhimisha mwaka 1 tangu shambulizi la Westgate ,Maswali mengi hayajapata majibu .

 

10 years ago

BBCSwahili

Maswali ni mengi juu ya Rashid Mberesero

Wiki mbili baada shambulio la chuo kikuu Garissa,maswali bado hayana majibu kuhusu mmoja wa watuhumiwa Rashid Mberesero

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani