Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JE, MALKIA ELIZABETH WA UINGEREZA AMEAMBUKIZWA VIRUSI VYA CORONA

Je, Malkia Elizabeth wa Uingereza ameambukizwa virusi vya coronaKuna tetesi kuwa mtawala mkuu wa Uingereza, Malkia Elizabeth ameambukizwa virusi vya maradhi ya corona, baada ya mwanae na mrithi wake, Charles kupatikana na ugonjwa huo ambao rasmi unajulikana kama COVID-19.Baadhi ya duru zinadokeza kuwa Malkia Elizabeth ameambukizwa corona ingawa vyombo vya habari vya Uingereza vimenyamazia kimya taarifa hiyo.Imedokezwa kuwa baada ya Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutangaza kuwa ameambukizwa corona mnamo Ijumaa, ripoti za kitibaz ilibaini kuwa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Freeman Mbowe asema mtoto wake ameambukizwa virusi vya corona ndani ya Tanzania

Katika taarifa yake kwa umma, Mbowe amesema kuwa mtoto amethibitika kupatikana na virusi vya Corona baada ya kupata homa za vipindi, kuumwa kichwa mfululizo na kukohoa kwa siku tano.

 

5 years ago

CCM Blog

MALKIA ELIZABETH II WA UINGEREZA AFUTA MPANGO WA KUMBUKIZI YA KUZALIWA KWAKE

Tarehe 21 Aprili ilikuwa siku ya kutimiza umri wa miaka 94 kwa Malkia Elizabeth II. 
Kwa kawaida mtawala wa Uingereza anasherehekewa siku ya kuzaliwa mara mbili kila mwaka. 
Moja ni siku yake halisi ya kuzaliwa, na nyingine ni siku ya kusherehekea kuzaliwa kwa Malkia iliyowekwa na serikali.
Kutokana na hali mbaya ya maambukizi ya virusi vya Corona, malkia Elizabeth ameamua kufuta sherehe za kutoa heshima ya mizinga mwaka huu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Uingereza imeruhusu matumizi ya dawa ya kukabiliana na virusi ya remdesivir

Dawa ya Remdesivir ilikuwa imevumbuliwa kukabiliana na virusi vya Ebola.

 

9 years ago

Michuzi

MALKIA ELIZABETH II WA UINGEREZA ATUMA SALAMU ZA PONGEZA KWA RAIS JOHN POMBE JOSEF MAGUFULI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
SALAMU ZA PONGEZI     RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amepokea salamu za pongezi kutoka kwa Malkia Elizabeth II wa Uingereza kufuatia kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
     Katika salamu hizo Malkia wa Uingereza amemueleza Mhe. Rais Dkt. Magufuli kuwa  “Natumaini kuwa mahusiano baina ya nchi hizi mbili ambazo ni...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku

Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Hospitali za Uingereza zaanza kufanyia majaribio dawa mpya

Dawa mpya iliotengenezwa na wanasayansi wa Uingereza kutibu Covid 19 inafanyiwa majaribio katika chuo kikuu cha Southampton.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mabadiliko ya virusi vya corona: Kwanini virusi vya corona vina tabia ya magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono

Utafiti wa virusi vya Covid-19 ulikadiria kwamba kiwango kikuu cha maambukizi ya virusi hivyo hutokea siku moja au mbili kabla ya mtu aliyeambukizwa kuanza kuonyesha dalili.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wanafunzi Kenya watengeneza vifaa vya kukabiliana na virusi vya corona

Virusi vya corona: Wanafunzi wa Kenya wanaotengeneza vifaa vya kukabiliana na virusi vya corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je vipimo vya kugundua virusi vya corona vinafanya kazi vipi?

Vipimo vya kugundua virusi vya corona ni vipi na vinafanyakazi namna gani?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani