Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je mji wa Rio uko tayari kuandaa Olimpiki

Je Mji wa Rio uko tayari kuandaa makala yajayo ya mashindano ya Olimpiki 2016 ?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kuandaa olimpiki na Paralympic 2024

Kamati ya olimpiki nchini Marekani inafanya jitihada za kuandaa michezo Olimpiki na ya mwaka 2024.

 

10 years ago

BBCSwahili

Beijing kuandaa Olimpiki ya baridi 2022

Mji mkuu wa China Beijing ndio utakaokuwa mwenyeji wa mashindano ya olimpiki ya msimu wa baridi ya mwaka wa 2022.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uko tayari kutoa kiungo chako kwa mwenzio?

Ni nadra sana katika mataifa ya kiafrika kusikia mtu anaahidi kuchangia kiungo chake cha mwili endapo ataaga dunia , Kwanini ?.

 

10 years ago

BBCSwahili

Angel Eaton yu tayari kwa Olimpiki 2016

Bingwa wa michuano ya gofu ya wazi ya Uganda, Mtanzania Angel Eaton amesema yuko tayari kwa ajili ya Olimpiki ya mwakani.

 

11 years ago

Dewji Blog

Barabara ya Kongowe — Mji Mwema — Kigamboni tayari inapitika

Picha Na. 1

Matengenezo yakiendelea katika Daraja la Mpiji.

Picha Na. 2

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifuatilia matengenezo katika Daraja la Mpiji.

Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi la Tanzania wamefanikisha kuifungua barabara ya Kongowe kuelekea Mjimwema hadi Kigamboni ambayo ilijifunga kutokana na kukatika kwa kalvati katika mto Mtokozi . Kalvati hilo lilibomolewa na mvua kubwa zilizonyesha kwa siku kadhaa hapa jijini.

Hapo juzi siku ya Jumanne,...

 

11 years ago

Michuzi

BARABARA YA KONGOWE — MJI MWEMA — KIGAMBONI TAYARI IMEANZA KUPITIKA

Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi la Tanzania wamefanikisha kuifungua barabara ya Kongowe kuelekea Mjimwema hadi Kigamboni ambayo ilijifunga kutokana na kukatika kwa kalvati katika mto Mtokozi . Kalvati hilo lilibomolewa na mvua kubwa zilizonyesha kwa siku kadhaa hapa jijini.
Hapo jana siku ya Jumanne, Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pia alishirikiana na watendaji kwa siku nzima akiwa eneo la Mpiji kuhakikisha barabara ya Dar es...

 

10 years ago

CloudsFM

TASWIRA YA MJI WA KAHAMA LEO WAKAZI WA MJI HUO WAJIANDAA NA FIESTA

Taswira ya mji wa Kahama leo hii,wakazi wa mji huo wajiandaa na tamasha la #Serengetifiesta2014 Jumapili hii pande za Kahama Stadium kwa mtonyo wa buku tano tu.#Nisheedah.

 

10 years ago

Michuzi

MCHUMA UKO SOKONI

Bei Milioni 6.5 Maelewano yapo. Kwa maelezo zaidi cheki kwa namba hii: 0713262902. Karibu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani