Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je ni kwanini asilimia 66 ya raia wa Nigeria hawatumii mipira ya kondomu?

Ripoti mpya inaonesha kwamba kati ya asilimia 34 ya raia wa Nigeria wanaotumia kondomu, asilimia 28 pekee ndio wanaotumia mipira hiyo kila wakati

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Vijana hawatumii kondomu- Utafiti

Asilimia 10 ya vijana nchini wenye umri wa miaka 12 hadi 14, wamegundulika wanajihusisha na vitendo vya ngono isiyo salama.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mipira mikubwa ya kondomu yalaumiwa Thai

Vijana huchagua mipira mikubwa ikilinganishwa na vipimo vyao huku wakiogopa kwamba watafanyiwa masikhara kwa kuwa wadogo''.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Ni kwanini watu katika baadhi ya mataifa wanatumia barakoa huku mengine hawatumii?

Ukitoka nje ya nyumba Hongokong bila kuvaa barakoa watu watakuangalia vibaya .Lakini si katika maeneo mengine ya dunia. Lakini je ni kwanini?

 

5 years ago

BBCSwahili

Matumizi ya kondomu nchini Nigeria ni machache mno

Ni asilimia 34 tu ya Wanigeria watu wazima wanotumia mipira ya kondomu wanapojihusisha na ngono utafiti umesema

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini Uganda imewafurusha raia 22 wa kigeni waliowasili kwa kongamano la kibiashara

Maafisa wa wizara ya afya nchini Uganda siku ya Jumapili wamesema kwamba takriban raia 22 wa kigeni watarudi katika mataifa yao huku hofu ya maambukizi ya virusi vya corona ikiendelea.

 

9 years ago

Bongo5

Mwigizaji wa Nigeria Genevieve Nnaji (36) azungumzia sababu za kwanini bado hajaolewa

Mwigizaji superstar wa Nigeria, Genevieve Nnaji amezungumzia kuhusu maisha yake ya mapenzi na mipango ya ndoa. Genevieve ni msichana mrembo na aliyefanikiwa kimaisha kupitia filamu pamoja na biashara zake nyingine ikiwemo mitindo, lakini katika umri wa miaka 36 alionao sasa bado hajabahatika kuolewa. Staa huyo ambaye kwa sasa anapromote filamu yake mpya ‘Road To Yesterday’ […]

 

10 years ago

Tanzania Daima

Raia wa Nigeria wakutwa na milipuko Tanga

JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu watatu wakiwemo raia wawili wa Nigeria kwa kosa la kukutwa na milipuko nane waliyokuwa wameihifadhi nyumbani kwa mwenyeji wao aliyejulikana kwa jina moja...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Raia watakiwa kuwa waangalifu

Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan amewataka watu wote nchini Nigeria kuwa waangalifu ili kuepuka mashambulizi ya kigaidi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Nigeria kuchagua rais mpya

Mamilioni ya wapiga kura hii leo wanapiga kura nchini Nigeria kwenye uchaguzi wa urais wa kinyang'anyiro kikali

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani