Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je, sababu hizi zinatosha kuiangusha Ukawa 2015?

>Siasa inabadilika kadri siku zinavyokwenda, hivyo kitendo cha kuungana kwa vyama vikubwa vya siasa  katika taifa lolote Afrika siyo jambo la kushangaza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016

Headlines za Arsenal kufanya vizuri bado zinagonga vichwa vya habari vya magazeti mengi ya michezo dunini, Arsenal kwa sasa ndio timu inayopewa nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016. Sababu za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa ubingwa sio kwa sababu kaifunga Man City. Hizi ndio sababu tano za Arsenal kupewa nafasi […]

The post Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016 appeared first on...

 

9 years ago

Raia Mwema

Magufuli anashinda; sababu 10 ni hizi

OKTOBA 25 mwaka huu, Watanzania watapiga kura kuchagua Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano na Bung

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

GPL

SABABU ZA MWANAMKE KUCHEPUKA HIZI HAPA!

Wapenzi wasomaji kumekuwa na manenomaneno kwamba, baadhi ya wanawake wamekuwa na mwanaume zaidi ya mmoja, lakini nimefanya utafiti na kubaini wanaosababisha tabia hiyo ya michepuko ni wanaume ambao wameingia nao kwenye uhusiano. KWA NINI NASEMA HIVI?
Utakuta mwanamke alimpenda mwanaume fulani kwa sababu ya kufuata huduma na jinsi anavyomjali na kumheshimu ikiwa ni pamoja na kumjaza katika nafsi yake, pengine ndiyo anavyopenda au...

 

9 years ago

GPL

SABABU 5 ZA KUMCHAGUA MAGUFULI HIZI HAPA

Dk. John Magufuli (CCM) . Na Daniel Mbega ILIKUWA miezi, wiki na sasa zimesalia siku tu kabla Watanzania hawajaamua kumchagua rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Oktoba 25, 2015. Jumla ya wagombea nane wa vyama mbalimbali wanawania nafasi hiyo adhimu ya kupokea kijiti kutoka kwa Jakaya Kikwete wa CCM. Wananchi wakimshangilia Magufuli hayupo… ...

 

10 years ago

Bongo5

Hizi sio sababu za kuzifuata unapochagua taaluma

Kuchagua taaluma ni kufanya maamuzi ya maisha yako jinsi unavyotaka yaende. Kama yalivyo maamuzi mengine makubwa unahitaji kutumia muda wa kutosha kutafakari na kufanya maamuzi kulingana na vyanzo vya habari za kutosha kuhusu hicho unachotaka kufanya. Ingawa unaweza kusema ni mambo rahisi, kufanya maamuzi kutakana na sababu nitakazoziorodhesha ni hatari. Unahitaji kujitambua na kujiongoza vyema, […]

 

9 years ago

StarTV

Hizi hapa sababu za Mtikila kuenguliwa NEC.

Sasa ni rasmi; Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli watavaana katika mpambano wa kuwania kuingia Ikulu, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwapitisha kugombea urais pamoja na wengine sita, huku watatu wakitemwa.

Wakati Lowassa atagombea urais kwa tiketi ya Chadema, akiungwa mkono na vyama vinne vinavyounda Ukawa, Dk Magufuli anawania nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM, huku mwanasiasa maarufu nchini, Mchungaji Christopher Mtikila akikataliwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hizi ni sababu dhaifu kwa Jeshi la Polisi

JESHI la Polisi nchini limefuta mikutano na maandamano ya vyama vya upinzani kuhusu mchakato wa Bunge Maalumu linaloendelea, kupitia umoja wao maarufu kama Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Marufuku...

 

9 years ago

Mwananchi

Makamba: Sababu za CCM kushinda hizi hapa

Oktoba ni mwezi wa kihistoria kwa Watanzania katika mwaka 2015 kutokana na ukweli kwamba watapiga kura kuchagua rais, wabunge na madiwani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani