Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je unajua Lowassa alichokifanya Leo?hebu tazama

Wakati ambapo wananchi wana kiu ya kufahamu Ukawa watafanya lini uzinduzi wa kampeni zao hasa kwa kuzingatia kuwa CCM imefanya uzinduzi wa kishindo jana katika viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam, mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ameanza ziara ya kupanda usafiri wa umma (daladala). Lowassa ameanza ziara yake asubuhi hii ambapo anapanda katika usafiri huo wa umma kwa lengo la kuwafikia wananchi wa maisha ya chini kabisa ili awasikilize kwa ukaribu na kufahamu kero zao. Katika...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Unajua alichokifanya Lowassa leo?Hiki hapa.

L1Mgombea urais anayewakilisha kambi ya Ukawa ameendelea na harakati zake za kukutana na wananchi wa kipato cha chini ambapo leo amefanya ziara ya kushitukiza katika soko la Tandale, jijini Dar es Salaam.

Lowassa ameingia katika soko la Tandale mapema leo asubuhi akiwa na mgombea mwenza, Juma Haji Duni ambapo amepokelewa kwa shangwe na wafanyabiashara ndogondogo katika soko hilo. Mbali na kuzungumza naokwa nia ya kufahamu matatizo yanayowakuta, Lowassa ameshiriki nao kupata kinywaji kwa...

 

9 years ago

MillardAyo

Unaambiwa hizi ni tabia 8 za watu wapole… hebu tazama ujaribu kulinganisha

Tunaishi kwenye dunia ambayo binadamu wanatofautiana kifikra, kitabia na kwenye vitu vingine… sasa leo December 15 mtaalamu wa saikolojia kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam  Chris Mauki ametoa hizi tabia nane za watu wa pole, zitazame uone kama zinakugusa au kumgusa yeyote unaemfahamu. Wanafikiri sana kabla ya kutenda, sio wakurupukaji Ni rahisi kuwaamini Wako […]

The post Unaambiwa hizi ni tabia 8 za watu wapole… hebu tazama ujaribu kulinganisha appeared first on...

 

9 years ago

Raia Mwema

Hebu tudurusu ‘Ufisadi’ wa Lowassa na ‘Usafi’ wa Magufuli

NITAANZA makala yangu ya wiki hii kwa kurejea swali nililoliuliza mwishoni mwa ile ya wiki iliyop

Jenerali Ulimwengu

 

10 years ago

Vijimambo

AKATI WAGOMBEA WENGINE NDANI YA CCM WANA MLALAMIKIA LOWASSA HEBU TUJIULIZE HAYA MASWALI....

January Makamba amechapisha vitabu vyakena kugawa kwa wajumbe wote wa mkutanomkuu, mbona Lowassa hakulalamika?January Makamba alinunua Simu za GallaxySumsang zaidi ya 140 akazigawa kwa wajumbewa baraza UVCCM ZANZIBAR.January 2013 alipokusanya marais wa vyuovikuu Tanzania nzima Mt. Uluguru Hotel nakuwalipa laki moja na nusu kila moja ili watoetamko kuwa anafaa kuwa rais, mbona Lowassahakulalamika?Membe amekuwa akipendelea Wafuasi wakekwenda kusimamia chaguzi Kama waangaliziwa Sadc, mbona...

 

9 years ago

StarTV

Unajua kwanini Lowassa aonywa na Polisi?

JESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemuonya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, kuwa staili ya kampeni aliyoianzisha na kutembelea maeneo mbalimbali katika ziara zisizo rasmi, inahatarisha usalama wa raia na mali zao, hivyo iachwe. Onyo hilo limewagusa pia wagombea wa vyama vya siasa katika nafasi mbalimbali hasa urais, ikielezwa kuwa, katika ziara hizo hujitokeza watu wengi, ambapo pia wahalifu wanaweza kutumia mwanya huo kufanya vitendo vya uhalifu.

Akizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani