Unajua kwanini Lowassa aonywa na Polisi?
JESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemuonya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, kuwa staili ya kampeni aliyoianzisha na kutembelea maeneo mbalimbali katika ziara zisizo rasmi, inahatarisha usalama wa raia na mali zao, hivyo iachwe. Onyo hilo limewagusa pia wagombea wa vyama vya siasa katika nafasi mbalimbali hasa urais, ikielezwa kuwa, katika ziara hizo hujitokeza watu wengi, ambapo pia wahalifu wanaweza kutumia mwanya huo kufanya vitendo vya uhalifu.
Akizungumza...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo26 Aug
Lowassa aonywa
JESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemuonya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, kuwa staili ya kampeni aliyoianzisha na kutembelea maeneo mbalimbali katika ziara zisizo rasmi, inahatarisha usalama wa raia na mali zao, hivyo iachwe.
9 years ago
StarTV25 Aug
Unajua alichokifanya Lowassa leo?Hiki hapa.
![Picha: Lowassa Atembele Soko La Tandale Kwa Kushitukiza L1](http://i2.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2015/08/L1.jpg?resize=640%2C336)
Lowassa ameingia katika soko la Tandale mapema leo asubuhi akiwa na mgombea mwenza, Juma Haji Duni ambapo amepokelewa kwa shangwe na wafanyabiashara ndogondogo katika soko hilo. Mbali na kuzungumza naokwa nia ya kufahamu matatizo yanayowakuta, Lowassa ameshiriki nao kupata kinywaji kwa...
9 years ago
StarTV24 Aug
Je unajua Lowassa alichokifanya Leo?hebu tazama
Wakati ambapo wananchi wana kiu ya kufahamu Ukawa watafanya lini uzinduzi wa kampeni zao hasa kwa kuzingatia kuwa CCM imefanya uzinduzi wa kishindo jana katika viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam, mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ameanza ziara ya kupanda usafiri wa umma (daladala). Lowassa ameanza ziara yake asubuhi hii ambapo anapanda katika usafiri huo wa umma kwa lengo la kuwafikia wananchi wa maisha ya chini kabisa ili awasikilize kwa ukaribu na kufahamu kero zao. Katika...
9 years ago
GPL02 Oct
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/92KBrfAhanc/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo08 Sep
Lowassa: Kwanini kura hazitaibiwa.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lowassa-8Sept2015.jpg)
Lowassa anayewakilisha pia muungano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vya NCCR-Mageuzi, NLD na Chama cha Wananchi (CUF), amesema ana imani kubwa kwamba katika uchaguzi mkuu mwaka huu, hakutakuwa na hila zozote za kuiba kura kwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/EL5eo9bWOHw/default.jpg)