Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa aonywa

JESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemuonya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, kuwa staili ya kampeni aliyoianzisha na kutembelea maeneo mbalimbali katika ziara zisizo rasmi, inahatarisha usalama wa raia na mali zao, hivyo iachwe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Unajua kwanini Lowassa aonywa na Polisi?

JESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemuonya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, kuwa staili ya kampeni aliyoianzisha na kutembelea maeneo mbalimbali katika ziara zisizo rasmi, inahatarisha usalama wa raia na mali zao, hivyo iachwe. Onyo hilo limewagusa pia wagombea wa vyama vya siasa katika nafasi mbalimbali hasa urais, ikielezwa kuwa, katika ziara hizo hujitokeza watu wengi, ambapo pia wahalifu wanaweza kutumia mwanya huo kufanya vitendo vya uhalifu.

Akizungumza...

 

10 years ago

GPL

IDRIS WA BBA AONYWA

Stori: MUSA MATEJA
MSHINDI wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan ameonywa na mashabiki kuwa makini na akina dada kwani mamilioni ya shilingi alizokuja nazo zitawafanya wampapatikie kwa lengo la kumchuna. Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan akipozi na mdada. Wadau mbalimbali waliokuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar Jumatano hii kumsubiri wakati akiwasili...

 

10 years ago

GPL

MEMBE AONYWA KUTOWACHAGULIA MGOMBEA

Picha mbalimbali za wanaharakati hao. Baadhi ya wanaharakati wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi linaloshikiliwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa  Mh. Bernard Membe, leo wamezungumza na wanahabari kuhusu kumnadi mgombea anayetaka kuwa mrithi wake jimboni kwake. Akizungumza katibu wa wanaharakati hao, Daudi Bernard alisema kuwa kwa muda aliokaa madarakani Mhe Membe hakuna mabadiliko yoyote hivyo asiwapangie...

 

9 years ago

BBCSwahili

Cameron aonywa dhidi ya kuishambulia Syria

Kamati ya bunge inayohusika na mashauri ya nchi za kigeni imesema kuwa inapinga hatua zozote za kijeshi huko Syria kutoka Uingereza

 

10 years ago

GPL

ZARI AONYWA VIATU VIREFU NA UJAUZITO

MWANDISHI WETU UBAVU wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ ameonywa kuacha viatu virefu kutokana na ujauzito alionao.
Kwa mujibu wa daktari mmoja ambaye hakupenda jina lake lichorwe gazetini, alisema kama anataka kujifungua salama basi ahakikishe anaachana na suala la kuvaa viatu virefu kwa wakati huu ambao ni mjamzito. Ubavu wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kim Kardashian aonywa ngono za kila mara

Kila wakati inadhaniwa kuwa ni dhana kile kinachozungumzwa juu ya Kim Kardashian , lakini sasa imethibitika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Katika G20 Putin aonywa aondoke Ukraine

Mataifa ya magharibi yataka Rais Putin atimize makubaliano ya kusitisha mapigano Ukraine

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”


HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi cha ‘Mada Moto’ kinachorushwa na kituo cha runinga cha Chanel Ten kujadili mada iliyotajwa kama ‘Lowassa Ndani ya CCM’.Polepole alionesha msimamo wake wa kumkataa Edward Lowassa kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani