Lowassa: Kwanini kura hazitaibiwa.
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amewataka Watanzania wajitokeze kwa wingi Oktoba 25 ili wampe ushindi wa kishindo kwani anaamini kwamba hakuna kura itakayoibwa.
Lowassa anayewakilisha pia muungano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vya NCCR-Mageuzi, NLD na Chama cha Wananchi (CUF), amesema ana imani kubwa kwamba katika uchaguzi mkuu mwaka huu, hakutakuwa na hila zozote za kuiba kura kwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo29 Oct
HIZI NDIZO SABABU YA KWANINI MATOKEO YA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO KURA ZILIZOPIGWA ZANZIBAR HAYAKUATHIRI KURA ZA NEC
![](https://zanzibarislamicnews.files.wordpress.com/2010/08/tume.jpg?w=570)
Katika uchaguzi wa Zanzibar, utaratibu ni kwamba Watanzania Zanzibar wanapiga kura 5, yaani Rais wa Zanz, Mwakilishi na diwani. Pia wanapiga kura ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge.
Kwenye kituo cha kupigia kura kuna meza 2. Moja ni ya tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) na nyingine ni ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Meza ya NEC ina watumishi wake na Meza ya ZEC ina watumishi wake.
Watumishi wa NEC wanaripoti moja kwa moja kwa NEC na watumishi wa ZEC wanaripoti moja kwa moja...
9 years ago
Raia Mwema07 Nov
Jinsi wapiga kura wa vijijjini ‘walivyomwibia’ Lowassa kura
Hatimaye uchaguzi umemalizika!
Kitila Mkumbo
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-au3Cp1u7Xqo/Vi0CI8mQlMI/AAAAAAAAW-g/vC3Sq13nhn0/s72-c/2X6A0449.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Kwanini watu hawapendi kupiga kura?
TUMESHUHUDIAuchaguzi wa Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa ukimalizika huku wananchi 29,541 pekee wakijitokeza kupiga kura wakati idadi kamili ya waliopaswa kupiga kura ikiwa ni 71,964. Hesabu hiyo ni sawa na...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Oct
Kwanini wananchi walinde kura zao?
Na Rashid Abdallah Mwanzoni mwa wiki juzi , Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) ilivionya vyama vya siasa kuacha mara moja kuwahamasisha wapiga kura, kuwa karibu na vituo vya kupigia kura baada ya kupiga kura zao […]
The post Kwanini wananchi walinde kura zao? appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
StarTV26 Aug
Unajua kwanini Lowassa aonywa na Polisi?
Akizungumza...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/EL5eo9bWOHw/default.jpg)
9 years ago
Mtanzania28 Aug
Mama Lowassa: Kwanini wamtungie mume wangu uongo? Waniulize mimi
NA AGATHA CHARLES, DAR ES SALAAM
MKE wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Regina, amesema anashindwa kuelewa ni kwanini watu wanatunga uongo kuhusu mumewe.
Akizungumza katika mkutano na wanawake kutoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Regina alisema yeye ni mtu pekee anayemfahamu mumewe kuliko mwingine yeyote.
“Huyu ni mume wangu, namfahamu kulikoni mtu mwingine yeyote… ni mchapakazi, ni mtu anayethamini utu, mpenda maendeleo, asiyependa unyanyasaji. Nashindwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-7tU_8jW3SwM/Vbf8MmSH8WI/AAAAAAAATio/BL7YcUQoGpg/s72-c/Jussa.jpg)
Kwanini naunga mkono kwa Mh Edward Lowassa kukaribishwa UKAWA : Ismail Jussa
![](http://2.bp.blogspot.com/-7tU_8jW3SwM/Vbf8MmSH8WI/AAAAAAAATio/BL7YcUQoGpg/s320/Jussa.jpg)
Baada ya kusoma maoni na mitazamo ya watu mbali mbali, nataka na miye nieleze mtazamo wangu kuhusiana na masuala hayo lakini zaidi nikirudi nyuma katika miaka ya 1991 na...