Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Unajua alichokifanya Lowassa leo?Hiki hapa.

L1Mgombea urais anayewakilisha kambi ya Ukawa ameendelea na harakati zake za kukutana na wananchi wa kipato cha chini ambapo leo amefanya ziara ya kushitukiza katika soko la Tandale, jijini Dar es Salaam.

Lowassa ameingia katika soko la Tandale mapema leo asubuhi akiwa na mgombea mwenza, Juma Haji Duni ambapo amepokelewa kwa shangwe na wafanyabiashara ndogondogo katika soko hilo. Mbali na kuzungumza naokwa nia ya kufahamu matatizo yanayowakuta, Lowassa ameshiriki nao kupata kinywaji kwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Je unajua Lowassa alichokifanya Leo?hebu tazama

Wakati ambapo wananchi wana kiu ya kufahamu Ukawa watafanya lini uzinduzi wa kampeni zao hasa kwa kuzingatia kuwa CCM imefanya uzinduzi wa kishindo jana katika viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam, mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ameanza ziara ya kupanda usafiri wa umma (daladala). Lowassa ameanza ziara yake asubuhi hii ambapo anapanda katika usafiri huo wa umma kwa lengo la kuwafikia wananchi wa maisha ya chini kabisa ili awasikilize kwa ukaribu na kufahamu kero zao. Katika...

 

9 years ago

Bongo Movies

Picha:Hiki Ndicho Alichokifanya Diamond Ndani ya Dar Live

Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alifanya  shoo baab’kubwa usiku wa kuamkia jana kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.

Na hizi ni baadahi ya picha za shoo hiyo.

DIAMOND881 DIAMOND123 DIAMOND6231 DIAMOND24512 DIAMOND11 DIAMOND8721 DIAMOND89913

 

11 years ago

Dewji Blog

Hiki ndicho alichokifanya Ras Inno kwenye tamasha la ZIFF 2014 linaloendelea visiwani Zanzibar

Na. Mwandishi wetu, Zanzibar

MKALI wa muziki wa rege nchini Innocent Nganyagwa anajiandaa kutoa filamu inayohusu maisha yake kama sehemu ya kufunza kizazi kijacho kuhusu  muziki huo.

Filamu hiyo ambayo itabeba maisha yake ya kuishi katika muziki wa rege inatolewa kama ile ya Jimmy Clief The hader they Come.

Nganyagwa mwenye albamu nne na tuzo tano za hapa nyumbani alisema pamoja na kukaa kimya kwa muda mrefu alikuwa hajaondoka katika muziki wa rege lakini alikuwa anafundisha vijana ili rege...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani