Je unapoeleza huwa unaeleweka kama ulivyokusudia?
Je, huwa unapata shida kuhakikisha kile unachomweleza mtu au kundi la watu kinaeleweka? Kama jibu lako ni ndiyo, mara ngapi unapowaeleza marafiki zako jambo fulani unagundua kuwa hawakuelewa vyema ujumbe wako kama ulivyokusudia? Kama huwa inatokea mara kwa mara umewahi kujiuliza ufanye nini ili kuepuka tatizo hili?
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo516 Sep
Kuna vitu vingi ambavyo nimefanya kama wa kwanza lakini huwa sipendi kuji-proud — Wakazi
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Kwanini wanaume huwa wanabaka.?
10 years ago
BBCSwahili28 Feb
Utafiti:Wanawake huwa na mpango m'badala
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Beyonce: Uzuri wa nje huwa unachuja
10 years ago
Dewji Blog08 Jul
Msishabikie mabadiliko huwa majuto — Askofu
Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Africa Graduate cha nchini Sierra Leone, Askofu Profesa, Stephano Nzawa, akitoa nasaha zake kwenye hafla ya kumtunikia nishani ya heshima baada ya kubaini utendaji wake uliotawaliwa zaidi na uaminifu.
Na Nathaniel Limu, Singida
WATANZANIA wanatakiwa kuchukua tahadhari kubwa katika kushabikia mabadiliko ya aina yoyote, yakiwemo ya kisiasa kwa madai kwamba baadhi ya mabadiliko hayo hugeuka na kuwa majuto mjukuu.
Tahadhari hiyo imetolewa na askofu Profesa...
5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Utafiti: Wezi na wanyanyasaji huwa na ubongo mdogo
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NDILiAzzLEXtQl-yE8aBgERTNMFEc8AhzJp5rek5M3hUYMjoJ0ePD1JSyKY-7jBPpBWgnq-c3ydkfUWyzso02WWeMCXDtPg2/7000000000.jpg)
BEN POL: HUWA SIWAACHI WANAWAKE, TUNAACHANA