Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Beyonce: Uzuri wa nje huwa unachuja

Mwanamuziki Beyonce anafahamika kwa umahiri wake wa kuteka vyombo vya vya habari wakati mwingine bila hata kufungua kinywa chake. Ndoa yake, ujauzito wake na kuachia albamu kimyakimya ni mambo ambayo yamewahi kuvunja rekodi za kuandikwa mara nyingi huku mwenyewe akibaki kimya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Muziki wetu unachuja haraka

Nimejiuliza kwa muda mrefu bila ya kupata mwafaka nini kinachoua kwa haraka muziki wa Kitanzania kwa sasa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kwanini wanaume huwa wanabaka.?

Wanawake nchini Uturuki wameamua kuvunja ukimya na kuzungumza bayana kuhusiana na masuala ya unyanyasaji wa kijinsia na mashambulio ya kingono.

 

10 years ago

Dewji Blog

Msishabikie mabadiliko huwa majuto — Askofu

DSC07112

Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Africa Graduate cha nchini Sierra Leone, Askofu Profesa, Stephano Nzawa, akitoa nasaha zake kwenye hafla ya kumtunikia nishani ya heshima baada ya kubaini utendaji wake uliotawaliwa zaidi na  uaminifu.

Na Nathaniel Limu, Singida

WATANZANIA wanatakiwa kuchukua tahadhari kubwa katika kushabikia mabadiliko ya aina yoyote, yakiwemo ya kisiasa kwa madai kwamba baadhi ya mabadiliko hayo hugeuka na kuwa majuto mjukuu.

Tahadhari hiyo imetolewa na askofu Profesa...

 

10 years ago

Mwananchi

Je unapoeleza huwa unaeleweka kama ulivyokusudia?

Je, huwa unapata shida kuhakikisha kile unachomweleza mtu au kundi la watu kinaeleweka? Kama jibu lako ni ndiyo, mara ngapi unapowaeleza marafiki zako jambo fulani unagundua kuwa hawakuelewa vyema ujumbe wako kama ulivyokusudia? Kama huwa inatokea mara kwa mara umewahi kujiuliza ufanye nini ili kuepuka tatizo hili?

 

10 years ago

BBCSwahili

Utafiti:Wanawake huwa na mpango m'badala

Nusu ya wanawake huwa na mpango mbadala ama wa kando ambao wanaweza kukimbilia iwapo uhusiano wao utaharibika.

 

5 years ago

BBCSwahili

Utafiti: Wezi na wanyanyasaji huwa na ubongo mdogo

Watu ambao huiba, kunyanyasa watu na kusema uwongo katika maisha yao yote wanaweza kuwa na ubongo mdogo, watafiti wanasema.

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Je, wewe huwa unajumuika katika vikundi?

Je, kuna kikundi au vikundi ambavyo wewe ni mmoja wapo wa washiriki wake? Kama jibu lako ni ndiyo hebu jiulize sababu iliyokufanya ujiunge na kikundi au vikundi hivyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani