Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muziki wetu unachuja haraka

Nimejiuliza kwa muda mrefu bila ya kupata mwafaka nini kinachoua kwa haraka muziki wa Kitanzania kwa sasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Heri Muziki-Nchi Yetu (Muziki Wetu)

Huu wimbo unahusu amani, upendo, uhuru na pia kujivunia na kusherekea utaifa wetu
Artist Name: Heri MuzikiSong Name: Nchi Yetu (Muziki wetu)Produced by: MswakiSongwriters: Adam Kaps, KT, Heri Muziki & Mswaki
Download Link :http://hu.lk/949infc12pvk
attached are1. Nchi Yetu (Muziki wetu)2. Song cover (artwork)3. Promo pic4. Nchi Yetu (Muziki wetu)

 

11 years ago

Mwananchi

Muziki huifanya mimea kukua haraka, kustawi

>Mwanafizikia  aliyebobea katika sayansi ya mimea kutoka nchini India, Jagadis Chandra Bose alitumia kipindi kirefu katika maisha yake kutafiti na kujifunza kwa vitendo namna mazingira ya mimea na kuthibitisha kwamba inaguswa na baadhi ya tabia za viumbehai.

 

10 years ago

Bongo5

Mwana FA: Makampuni tusaidieni kuufanya muziki wetu uwe mkubwa, ni baada ya ushindi wa Diamond

Wasanii mbalimbali wakubwa na wadogo wameendelea kumpongeza Diamond Platnumz kwa ushindi mkubwa alioupata Jumamosi iliyopita baada ya kunyakua tuzo tatu za Channel O (CHOAMVA). Kupitia Instagram Mwana FA ameandika jinsi anavyouchukulia kwa uzito ushindi huo wa Platnumz pamoja na ushauri wake kwa makampuni na wadau katika kuwekeza kwenye muziki. “Sawa…nilikuwa nangoja woooote mmalize ili mnisikilize […]

 

10 years ago

Bongo5

Nay Wa Mitego: Hawa wanaosanda gemu, watuachie muziki wetu, dongo kwa Nikki Mbishi?

Nay Wa Mitego a.k.a The True Boy ametoa kauli nyingine ambayo inaonekana wazi kuwa inamlenga rapper Nikki Mbishi. Baada ya hivi karibuni ‘kumpongeza’ rapper huyo kwa uamuzi wake wa kuacha muziki na kudai kuwa alichelewa sana kuchukua uamuzi huo, ameandika ujumbe mwingine unaoashiria kuwa ni dongo lingine kwa Nikki Mbishi. Kupitia Facebook Nay ameandika: “Hawa […]

 

10 years ago

Mwananchi

Beyonce: Uzuri wa nje huwa unachuja

Mwanamuziki Beyonce anafahamika kwa umahiri wake wa kuteka vyombo vya vya habari wakati mwingine bila hata kufungua kinywa chake. Ndoa yake, ujauzito wake na kuachia albamu kimyakimya ni mambo ambayo yamewahi kuvunja rekodi za kuandikwa mara nyingi huku mwenyewe akibaki kimya.

 

9 years ago

Bongo5

Beka Ibrozama: Muziki wa biashara usitufanye tuutupe muziki wa asili ya Tanzania

beka

Muimbaji aliyewahi kutamba na wimbo wake ‘Natumaini’, Beka Ibrozama ameonya kuwa kama wasanii watajisahau na kufanya zaidi ule wanaouita muziki wa biashara wenye kukopa vionjo vya nje, muziki wenye asili ya Tanzania utapotea.

beka

Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky hivi karibuni, Beka alisema pamoja na kufanya nyimbo za kisasa, bado amekuwa akitumia muziki wenye asili ya Tanzania kumpa inspiration.

“Nasikiliza tu jinsi muziki unavyoelekea, naona ni muziki ambako upo wa kukopi sana, watu...

 

10 years ago

Bongo5

Nikki Wa Pili: Nguvu ya muziki wa nyumbani bado imeonekana ni kubwa zaidi ya muziki wa kigeni

Msemaji wa kundi la Weusi Nickson Simon a.k.a Nikki Wa Pili ni miongoni mwa wasanii waliopanda kwenye jukwaa la Fiesta 2014 kwenye viwanja vya Leaders, Dar Jumamosi October 18 akiwa na Joh Makini, Lord Eyez na G-Nako. Nikki ambaye pia hakupitwa na show za wasanii wengine alikuwa na machache ya kusema kwa kile alichokiona kwenye […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani