Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kuna vitu vingi ambavyo nimefanya kama wa kwanza lakini huwa sipendi kuji-proud — Wakazi

Wakazi ni rapper ambaye ameshafanya vitu vingi vya kuweka rekodi kama msanii wa kwanza Tanzania kufanya lakini hapendi sana kujitangaza, kitu kinachofanya watu wasijue na wakati mwingine kumkosesha kupata pongezi anazostahili. “Kusema kweli sipendagi kujiproud, kuna vitu vingi ambavyo nimefanya kama wa kwanza,” alisema Wakazi kupitia kipindi cha Full Charge cha Pride Radio Mtwara. “Mbona […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

JB: Vitu Vingi Huwa Naiga Kutoka kwa Baba

Leo ikiwa ni siku ya Kina baba ‘Father’s Day’, ambapo wakinababa duniani kote husherekea kila mwaka inapofika tarehe kama hii ya leo.

Mastaa na watu wengi wakawaida wamewatakia furaha na kujivunia baba zao, Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ni moja ya mastaa waliowapongeza na kumtakia baba yake furaha kwenye siku hii ya leo kwa kuweka picha akiwa na baba yake kwenye ukurasa wake mtandaoni  na kueleza kuwa toboa kuwa kuna vitu vingi sana huwa ana jaribu kuviiiga kutoka kwa baba yake...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wastara: Yusuph Mlela Anafanana Vitu Vingi na Sajuki

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amefunguka na kumwagia sifa muigizaji mwenzake, Yusuph Mlela kuwa ni mtu ambaye anafanana vitu vingi na aliyekuwa mume wake, marehemu Sajuki  na kusisitiza kuwa huwa hachoki kufanya naye kazi.

Kupitia ukurasa wakekwenye mtandao wa instagram, Wastara aliweka picah hiyo hapo juu na kuandika;

“Mama na mwana mama na baba nimeipenda kma ilivyo ila kiukweli huyu jamaa nampenda mfano hakuna mpole muelewa hana makuu anao ubinadaamu hana ugomvi na mtu mpole ajui...

 

9 years ago

Bongo5

Ommy Dimpoz ataja vitu ambavyo muziki wa Uganda ni zaidi ya Tanzania

Kwa mujibu wa Ommy Dimpoz soko la muziki wa Uganda ni imara na linalipa zaidi kuliko la Tanzania. Ommy Dimpoz akiwa na msanii wa Uganda, Eddy Kenzo. Ommy amedai kuwa mwaliko wake wa kwenda kutumbuiza kwenye show kubwa ya mshindi wa tuzo za BET mwaka huu, Eddy Kenzo kumemfumbua macho. Amedai kuwa wasanii wa Uganda […]

 

10 years ago

Mwananchi

Je unapoeleza huwa unaeleweka kama ulivyokusudia?

Je, huwa unapata shida kuhakikisha kile unachomweleza mtu au kundi la watu kinaeleweka? Kama jibu lako ni ndiyo, mara ngapi unapowaeleza marafiki zako jambo fulani unagundua kuwa hawakuelewa vyema ujumbe wako kama ulivyokusudia? Kama huwa inatokea mara kwa mara umewahi kujiuliza ufanye nini ili kuepuka tatizo hili?

 

11 years ago

Mwananchi

Hongereni Azam FC, lakini mbele kuna kazi

Naingia tena kwenye ulingo huu wa hoja kuzungumzia mambo yetu yanayotuhusu ya michezo.

 

11 years ago

Michuzi

Mapambano dhidi ya ukeketaji Tanzania , safari ni ndefu lakini kuna matumaini

Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya kupinga ukeketaji kwa wanawake na wasichana inaelezwa kuwa mila na desturi ni kikwazo kikubwa katika harakati za kutokomeza vitendo hivyo.  Katika mahojiano na Joseph Msami wa  idhaa hii Mtaalamu wa masuala ya jinsia kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu, UNFPA nchini Tanzania, Christine Kwayu amesema licha ya mila hizo UNFPA kwa kushirikiana na wadau wanajitahidi kuelimisha jamii ili kuondokana na ukeketaji. Bi Kwayu kwanza anaanza kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani