JE, UNGEKUWA HUJAFANYIWA KITCHEN PARTY?!
![](http://api.ning.com:80/files/e*Q7chwcF2bpXVUFq7ZDF-nQi-q9jzykeGN*X5BlRr*kJgaCNC0Nnh9gcuebQvLTYpBlS0L1V3srg-qimVA5mS5PZU07ixZE/bbb.jpg)
Mungu kweli mkubwa! Ni Jumanne tena ambapo naamini wasomaji wangu wa safu hii ya Mapenzi na Maisha mpo sawasawa mkiendelea kunifuatilia.Baada ya wiki iliyopita kumalizia mada yangu ya; HERI USIWE HEWANI KULIKO KUTOPOKEA SIMU, nimefikiria kuwaletea kitu kingine hapa. Hata hivyo, nawashukuru sana wasomaji wangu kwa mada ile kwani nilipokea simu nyingi za kunipongeza kwamba nilichokiandika kilikuwa cha kweli tupu. Mada ya leo ni;...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mMRmJLLEzVFWCUiXyPLgBuTtseUZ7gmxWZbxO02RgezHkL9n*J05rVPzIrPp5L2WNNVazL-Kc2NLTm1wxH9f3HNcVHjvhBYo/w.jpg?width=650)
JE, UNGEKUWA HUJAFANYIWA KITCHEN PARTY?!-2
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q3V6NPRI8mEuX**tt5tmxi1n25yN3jp5IGgr-lfHD2CnE6nyToG*XeSw0xDCE7YskmBd2phaW9JZm-fwA*A*ugE/f25.jpg)
11 years ago
TheCitizen14 Jun
Has ‘Kitchen Party’ lost its meaning?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ojSCGs3jvX0Im76ySxtOkr2rLe6UIm6-nlS*r7qM6InGy8lH1XScnjWhYAjpqNbppHpzC7mjxIUTmQFFbi5lvNFFFNFDdG03/IMG20140422WA0000.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-1L-GWVmPxu0/U1bGzdBAaOI/AAAAAAAAxFc/e43hfSm3U88/s72-c/blogger-image--1532184833.jpg)
Familia Kitchen Party Gala ni Jumapili Hii
![](http://2.bp.blogspot.com/-1L-GWVmPxu0/U1bGzdBAaOI/AAAAAAAAxFc/e43hfSm3U88/s1600/blogger-image--1532184833.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SDhgST2Am3WHXMhW3OYquq5n0kOHf2ato3YFIMT1tCaVcwElVd*fo*hJL3hWWdX4J4756k8nUTK8BTHjPLP40fumGMyq7--J/couplehappilysleeping.jpg?width=650)
JAMANI, KITCHEN PARTY ZISIVUNJE NDOA ZENU
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Kitchen Party ya Dr. Haika Mhando yafunika Dar
Bi. harusi mtarajiwa Dr.Haika Mhando akiwa tayari kuingia ukumbini katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa Banora jijini Dar es salaam Jumapili Septemba 13,2014.
Mama mzaa chema.
Dada wa Bi. harusi Neema Mhando.
Dada wa Bi harusi Dr.Nandera Mhando.
Dada wa Bi.harusi Mchungaji Rebecca Mhando.
Dada wa Bi. harusi Netiwe Mhando.
Dada wa Bi. harusi Empress Elinita Mhando.
Mc wa shughuli Mary Mwanyato.
Mambo ya wanakamati. Kwa picha zaidi ungana na sundayshomari.com
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
11 years ago
GPLTASWIRA ZA KITCHEN PARTY GALA JIJINI MWANZA