Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je Urembo wa kujichubua ni urembo?

Kutana na Vera Sidika, mkenya maarufu aliejichubua ngozi na sasa anasema wengi wanaomkosoa ni wanafiki

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

wamevutiwa na urembo

Kamera ya Globu ya Jamii mchana wa leo imeinasa taswira hii ya Wanafunzi wa Shule ya msingi Kumbukumbu,Kinondoni jijini Dar es Salaam wakiwa wamemzungumza kijana anaefanya biashara ya bidhaa za urembo (Mmachinga),walipokuwa wakiangalia vitu vilivyokuwa vikiwavutia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tahadhari:'Hatari za urembo bandia'

Baadhi wanauita urembo wa bandia ambapo wanawake na wanaume wanatumia mamilio ya dola kujiongeza urembo kwa kufanyiwa upasuaji

 

11 years ago

Tanzania Daima

Monduli yatema shindano la urembo

KITONGOJI cha Monduli kimeshindwa kuandaa mashindano ya urembo katika Mkoa wa Arusha kutokana na wahusika kushindwa kumudu gharama. Vitongoji vitatu vilikuwa vimepewa nafasi ya kuandaa mashindano hayo chini ya Miss...

 

11 years ago

Mwananchi

Urembo kwa mwanamke anayelea

Kipindi cha ujauzito wanawake wengi hujikuta wakiacha kuzingatia hatua mbalimbali za kujitunza ili kubaki warembo, matokeo yake hupoteza mvuto.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamume ajibandika urembo kufanana na Kim

Sura huonekana katika baadhi ya majarida maarufu duniani, ana kipindi chake maalum kuhusu maisha yake na familia yake, ana kampuni ya vipodozi na pia ana mamilioni ya dola kwenye akauti zake za benki.

 

10 years ago

GPL

MWANAMUME AJIONGEZEA UREMBO KUFANANA NA KIM

Muonekano wa Jordan baada ya kujitahidi kufanana na Kim. Mwanaume aliyejitambulisha kwa jina la Jordan (23) amefanya mambo ya ajabu akijitahidi kufanana na Kim kwa kujiongeza urembo bandia, hasa kufanya midomo yake kuwa mikubwa akitaka ifanane na ya Kim. Kim Kardashian katika pozi. Ametumia…

 

10 years ago

BBCSwahili

Urembo katika visiwa vya Comoro

Bila shaka urembo unaweza kutafsiriwa kwa namna mbalimbali.Na nchi tofauti zina namna ya kipekee kudhihirisha uzuri wao.

 

9 years ago

Michuzi

MAONESHO YA UZURI, MAVAZI, SANAA NA UREMBO.

 Mwandishi F Macha na msanii wa ACD Arts toka Uganda, Steve Kasamba. Picha na JJ Adamson wa Africans in London TV. Mohammed Juma toka Mombasa akishughulika na nyama choma, ndizi mzuzu za kuoka.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani