Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONESHO YA UZURI, MAVAZI, SANAA NA UREMBO.

 Mwandishi F Macha na msanii wa ACD Arts toka Uganda, Steve Kasamba. Picha na JJ Adamson wa Africans in London TV. Mohammed Juma toka Mombasa akishughulika na nyama choma, ndizi mzuzu za kuoka.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAONESHO YA SANAA NCHINI OMAN

Sehemu ya nje ya Msikiti wa Pili kwa ukubwa duniani “Masjid Sultan”. Msikiti huo umefanywa kama Kivutio cha Watalii na kujifunza ambapo Watanzania Wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa na Utamaduni nchini Oman waliutembelea Msikiti huo kujifunza zaidi.Wageni na Baadhi ya Watanzania Wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa na Utamaduni nchini Oman wakiwa Sehemu ya mbele (Qibla) ya Msikiti wa Pili kwa ukubwa duniani “Masjid Sultan”. Msikiti huo umefanywa kama Kivutio cha Watalii na...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA SANAA,UBUNIFU NA UTAMADUNI NCHINI OMAN

Shamra shamra za ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman.Waziri wa Kilimo na Mifugo wa Oman Dkt. Fuad bin Jaafar al Sajwan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Maonesho ya Mwezi mmoja ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman. Naibu Balozi wa Tanzania nchini Oman Juma Othman kulia akibadilishana mawazo na mmmoja ya Wajasiriamali kutoka Tanzania anayeshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yanogesha Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni nchini oman

Na Faki Mjaka, Muscat, Oman Serikali na Wadau binafsi wameshauriwa kuwasaidia Wajasiriamali wa Kitanzania ili waweze kuziweka bidhaa zao katika Vifungashio (Package) vyenye mvuto na kiwango cha ubora wa kimataifa. Kufanya hivyo kutawawezesha Wajasiriamali hao kupata soko la Bidhaa zao kwa Wateja wadogo na wakubwa katika nchi mbalimbali duniani. Ushauri huo umetolewa na Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh alipowatembelea Wajasiriamali wanaoshiriki katika Maeonesho ya Kimataifa...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN AKUTANA NA WATANZANIA WANAOSHIRIKI MAONESHO YA SANAA NA UTAMADUNI MJINI MASCUT

Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh akisalimiana na Mwandishi wa Chanel Ten Said Makala Ofisini kwake alipowaita kwa lengo la kuwapa nasaha Washiriki wa Maonesho ya mwezi mmoja ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Jimbo la Al-Amerat mjini Mascut, nchini Oman.Mkuu wa Utawala Ubalozi wa Tanzania nchini Oman Abdallah Kilima kushoto akimkaribisha Balozi wa Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh kulia kutoa nasaha zake kwa Washiriki wa Maonesho ya...

 

10 years ago

Michuzi

UBORESHAJI WA BOMA LA MKUU WA WILAYA YA IRINGA KUWA KITUO CHA MAKUMBUSHO NA MAONESHO YA SANAA ZA KIUTAMADUNI WAPONGEZWA

Meneja wa Mradi wa Kuendeleza Utamaduni Nyanda za Juu Kusini Jan Kuever akitoa taarifa ya Uboreshaji wa Boma la Mkoloni Iringa Kuwa sehemu ya makumbusho na Maonesho ya Kiutamaduni.Boma lililokuwa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Iringa linaloboreshwa likwa katika hatua nzuri ya ujenzi.Makamu Mkuu wa Chuo Cha Iringa akieleza ushirikiwa wa Chuo katika kudumisha Utamaduni.Meneja Msaidizi wa Mradi wa Fahari yetu Bw Jimson Sanga akitolea ufafanuzi juu ya mwenendo wa Mradi. Kwa taarifa kamili na picha...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AFUNIKA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' NCHINI AFRIKA KUSINI

Na Mwandishi wetuMbunifu wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufinika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika juzi Ijumaa mjini Johannesburg, Afrika Kusini.Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita 'PRIDE' yaani kujivunia, kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere pamoja na viongozi mashuhuri waliopigania uhuru...

 

11 years ago

BBCSwahili

Je Urembo wa kujichubua ni urembo?

Kutana na Vera Sidika, mkenya maarufu aliejichubua ngozi na sasa anasema wengi wanaomkosoa ni wanafiki

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani