Tanzania yanogesha Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni nchini oman
![](http://3.bp.blogspot.com/-LOveWb2dIvs/VN45KqyGMmI/AAAAAAAHDnI/_20_oyDTT0I/s72-c/unnamed%2B(42).jpg)
Na Faki Mjaka, Muscat, Oman Serikali na Wadau binafsi wameshauriwa kuwasaidia Wajasiriamali wa Kitanzania ili waweze kuziweka bidhaa zao katika Vifungashio (Package) vyenye mvuto na kiwango cha ubora wa kimataifa. Kufanya hivyo kutawawezesha Wajasiriamali hao kupata soko la Bidhaa zao kwa Wateja wadogo na wakubwa katika nchi mbalimbali duniani. Ushauri huo umetolewa na Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh alipowatembelea Wajasiriamali wanaoshiriki katika Maeonesho ya Kimataifa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA SANAA,UBUNIFU NA UTAMADUNI NCHINI OMAN
10 years ago
Michuzi22 Jan
10 years ago
MichuziBALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN AKUTANA NA WATANZANIA WANAOSHIRIKI MAONESHO YA SANAA NA UTAMADUNI MJINI MASCUT
10 years ago
MichuziUBUNIFU WA KUVUTIA WATEJA katika MAONESHO YA Kimataifa MASCUT OMAN
10 years ago
VijimamboWashiriki wa maonyesho ya kimataifa ya sanaa wakutana na Balozi wa Tanzania nchini Oman
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-l91yAge_aFE/VMY7E9NCY1I/AAAAAAABjGk/lfzXBl57FAA/s72-c/7%2BJPG.jpg)
MAONESHO YA SANAA NCHINI OMAN
![](http://4.bp.blogspot.com/-l91yAge_aFE/VMY7E9NCY1I/AAAAAAABjGk/lfzXBl57FAA/s640/7%2BJPG.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Tb91LliEhpI/VMY7qwCO1nI/AAAAAAABjG8/svGGo7FJEe8/s640/2JPG.jpg)
10 years ago
Habarileo23 Jan
Balozi: Watanzania tumieni vizuri maonesho ya ubunifu ya Oman
WATANZANIA wanaoshiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea nchini Oman, wametakiwa kuitumia vyema fursa ya kimataifa waliyoipata kwa kufuata vyema miongozo waliyopewa ili ziara yao iweze kuleta tija.
10 years ago
MichuziCHANGAMOTO ZA WATANZANIA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YANAYOFANYIKA MASCUT - OMAN