MAONESHO YA SANAA NCHINI OMAN
![](http://4.bp.blogspot.com/-l91yAge_aFE/VMY7E9NCY1I/AAAAAAABjGk/lfzXBl57FAA/s72-c/7%2BJPG.jpg)
Sehemu ya nje ya Msikiti wa Pili kwa ukubwa duniani “Masjid Sultan”. Msikiti huo umefanywa kama Kivutio cha Watalii na kujifunza ambapo Watanzania Wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa na Utamaduni nchini Oman waliutembelea Msikiti huo kujifunza zaidi.
Wageni na Baadhi ya Watanzania Wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa na Utamaduni nchini Oman wakiwa Sehemu ya mbele (Qibla) ya Msikiti wa Pili kwa ukubwa duniani “Masjid Sultan”. Msikiti huo umefanywa kama Kivutio cha Watalii na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi22 Jan
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-LOveWb2dIvs/VN45KqyGMmI/AAAAAAAHDnI/_20_oyDTT0I/s72-c/unnamed%2B(42).jpg)
Tanzania yanogesha Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni nchini oman
10 years ago
MichuziTANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA SANAA,UBUNIFU NA UTAMADUNI NCHINI OMAN
10 years ago
MichuziBALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN AKUTANA NA WATANZANIA WANAOSHIRIKI MAONESHO YA SANAA NA UTAMADUNI MJINI MASCUT
10 years ago
VijimamboWashiriki wa maonyesho ya kimataifa ya sanaa wakutana na Balozi wa Tanzania nchini Oman
10 years ago
Habarileo23 Jan
Balozi: Watanzania tumieni vizuri maonesho ya ubunifu ya Oman
WATANZANIA wanaoshiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea nchini Oman, wametakiwa kuitumia vyema fursa ya kimataifa waliyoipata kwa kufuata vyema miongozo waliyopewa ili ziara yao iweze kuleta tija.
10 years ago
Dewji Blog30 Jan
Changamoto za Watanzania katika maonesho ya kimatifa yanayofanyika Mascut-Oman
Wageni mbalimbali wakiingia na kutoka Katika Banda la Watanzania kujione bidhaa za Watanzania Wanaoshiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa,Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea Mascut-Oman. (Picha na Faki Mjaka-Mascut Oman).
Na Faki Mjaka-Mascut Oman
Kukosekana kwa Semina ya pamoja na uelewa mdogo wa lugha ya Kiarabu ni miongoni mwa Changamoto zinazowakabili Wajasiriamali wa Kitanzania wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa na Utamaduni nchini Omani.
Hayo yameelezwa na Watanzania...
10 years ago
MichuziCHANGAMOTO ZA WATANZANIA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YANAYOFANYIKA MASCUT - OMAN
10 years ago
MichuziUBUNIFU WA KUVUTIA WATEJA katika MAONESHO YA Kimataifa MASCUT OMAN