UBUNIFU WA KUVUTIA WATEJA katika MAONESHO YA Kimataifa MASCUT OMAN
Warembo kutoka Thailand wakiwa Wametulia nje ya Mlango wa Banda lao ikiwa ni ubunifu wa kuwavutia na kuwafurahisha Wateja wanaoingia katika Banda lao kujionea bidhaa mbalimnali za nchi yao katika Maonesho ya Kimatifa ya Sanaa,ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut-Oman
Bunduki ni miongoni mwa zana zinazotumika katika ngoma ya Asili kutoka nchini Moroko. Pichani Wasanii hao wakitumbuiza nje ya banda lao kuvutia wateja kujionea bidhaa mbalimbali za nchi yao katika maonesho ya Kimataifa ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziCHANGAMOTO ZA WATANZANIA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YANAYOFANYIKA MASCUT - OMAN
10 years ago
Dewji Blog30 Jan
Changamoto za Watanzania katika maonesho ya kimatifa yanayofanyika Mascut-Oman
Wageni mbalimbali wakiingia na kutoka Katika Banda la Watanzania kujione bidhaa za Watanzania Wanaoshiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa,Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea Mascut-Oman. (Picha na Faki Mjaka-Mascut Oman).
Na Faki Mjaka-Mascut Oman
Kukosekana kwa Semina ya pamoja na uelewa mdogo wa lugha ya Kiarabu ni miongoni mwa Changamoto zinazowakabili Wajasiriamali wa Kitanzania wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa na Utamaduni nchini Omani.
Hayo yameelezwa na Watanzania...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-LOveWb2dIvs/VN45KqyGMmI/AAAAAAAHDnI/_20_oyDTT0I/s72-c/unnamed%2B(42).jpg)
Tanzania yanogesha Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni nchini oman
10 years ago
MichuziTANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA SANAA,UBUNIFU NA UTAMADUNI NCHINI OMAN
10 years ago
MichuziBALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN AKUTANA NA WATANZANIA WANAOSHIRIKI MAONESHO YA SANAA NA UTAMADUNI MJINI MASCUT
10 years ago
Habarileo23 Jan
Balozi: Watanzania tumieni vizuri maonesho ya ubunifu ya Oman
WATANZANIA wanaoshiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea nchini Oman, wametakiwa kuitumia vyema fursa ya kimataifa waliyoipata kwa kufuata vyema miongozo waliyopewa ili ziara yao iweze kuleta tija.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-DocMlwLY0Sk/Xt35G728GEI/AAAAAAALtAg/n49-yg2NHhQhmYkBD99phhVM7ylCSl1TwCLcBGAsYHQ/s72-c/Saba_Crowd1.jpg)
MAONESHO YA 44 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA DAR ES SALAAM (44th DITF) KUANZA JULAI 1 – 13, 2020 KATIKA UWANJA WA MAONESHO WA MWL. J.K. NYERERE
![](https://1.bp.blogspot.com/-DocMlwLY0Sk/Xt35G728GEI/AAAAAAALtAg/n49-yg2NHhQhmYkBD99phhVM7ylCSl1TwCLcBGAsYHQ/s640/Saba_Crowd1.jpg)
Lengo la Maonesho haya ni kutoa fursa ya kutafuta masoko ya...
10 years ago
MichuziNHIF YAZOA VIKOMBE VYA UBUNIFU KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA.
9 years ago
Michuzi04 Sep
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10