Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UBORESHAJI WA BOMA LA MKUU WA WILAYA YA IRINGA KUWA KITUO CHA MAKUMBUSHO NA MAONESHO YA SANAA ZA KIUTAMADUNI WAPONGEZWA

Meneja wa Mradi wa Kuendeleza Utamaduni Nyanda za Juu Kusini Jan Kuever akitoa taarifa ya Uboreshaji wa Boma la Mkoloni Iringa Kuwa sehemu ya makumbusho na Maonesho ya Kiutamaduni.Boma lililokuwa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Iringa linaloboreshwa likwa katika hatua nzuri ya ujenzi.Makamu Mkuu wa Chuo Cha Iringa akieleza ushirikiwa wa Chuo katika kudumisha Utamaduni.Meneja Msaidizi wa Mradi wa Fahari yetu Bw Jimson Sanga akitolea ufafanuzi juu ya mwenendo wa Mradi. Kwa taarifa kamili na picha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Iringa Boma kuwa jumba la makumbusho.

Na Mawazo Malembeka,

Iringa.

 

 

Wizara ya Maliasili na Utalii imetoa kibali kwa Chuo Kikuu cha Iringa kulikarabati na kulihuisha jengo lililojengwa na wakoloni wa kijerumani miaka 114 iliyopita maarufu kama Iringa Boma na kuwa jumba la makumbusho.

 

Jengo hilo ambalo litafanyiwa ukarabati na mradi wa kuendeleza na kukuza utamaduni wa asili kanda ya Nyanda za Juu Kusini unaoitwa Fahari yetu unaotekelezwa na Chuo Kikuu cha Iringa kwa ufadhili wa Jumuiya ya nchi za Ulaya kwa zaidi ya miaka 50...

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa wilaya ya Mufindi amewataka wakazi wa mkoa wa Iringa kuwa walinzi namba moja dhidi ya wenyetabia ya kuharibu mazingira

Mkuu wa wilaya ya Mufindi Bi MBONI MHITA amewataka wakazi wa mkoa wa Iringa kuhakikisha wanakuwa walinzi namba moja dhidi ya watu wenyetabia ya kuharibu mazingira katika maeneo yao, kwani kwa kutofanya hivyo ni sawa na kujiuwa wenyewe.
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya habari na mawasiliano ya Halmashauri ya wilaya ya Mufindi Imetanabasha kuwa, mkuu wa wilaya ameyasema hayo kwenye kilele cha siku ya mazingira duniani yaliyofanyika kimkoa katika kijiji cha Vikula Wilayani Mufindi...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA RASMI KWA UMMA YA KIFO CHA MKUU WA WILAYA YA KALAMBO MHE. MOSHI CHANG'A, KUZIKWA JUMATANO MKOANI IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA WAZIRI MKUU

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA


MKOA WA RUKWA

Anuani ya simu:”REGCOM”                          Simu Na:(025)-2802138/2802144 Fax Na. (025) 2802217

Baruapepe: rasrukwa@yahoo.com

             OFISI YA MKUU WA MKOA,

     S.L.P. 128,

     SUMBAWANGA.




Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella M. Manyanya (Mb) kwa masikitiko makubwa anapenda kuwajulisha juu msiba mkubwa ulioukumba Mkoa wetu wa Rukwa wa kuondokewa na Mkuu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kituo kipya cha makumbusho chazua Taharuki

Dar es Salaam. Wakazi wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam jana walikumbwa na taharuki baada ya kituo cha daladala cha Mwenge kuhamishiwa eneo la Makumbusho .

 

11 years ago

CloudsFM

KITUO CHA MABASI MWENGE KUHAMISHIWA MAKUMBUSHO

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini (SUMATRA) wamegiza kuwa kuanzia Juni 2, 2014, kituo cha Mwenge kitafungwa na daladala zote zinazotumia kituo hicho zitahamia kituo cha Makumbusho.
Daladala zote zinazoishia Mwenge zitakuwa zinashusha abiria kituo cha Makumbusho. Na daladala zinazokwenda maeneo mbalimbali kupitia Mwenge hazitoruhusiwa kusimama kituoni hapo na kushusha au kupandisha abiria. Zote zitapaswa kufika kituo cha Makumbusho.

 

11 years ago

GPL

WANANCHI WATATIZWA NA KITUO CHA MWENGE KUHAMISHIWA MAKUMBUSHO

Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wamelalamikia kitendo cha Sumatra kuhamisha kituo cha Daladala cha Mwenge kwenda Makumbusho.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

BREAKING NEWS: Matokeo ya kituo Kituo cha Skuli ya Bwagamoyo Wilaya ya Wete Pemba jimbo Mtambwe.

BREAKING NEWS: Matokeo ya kituo nilichopiga kura mimi. Kituo cha Skuli ya Bwagamoyo Wilaya ya Wete Pemba jimbo Mtambwe. Kituo namba 1. Kura za Maalim Seif ni 317 na za Dk Shein ni 5. Kituo namba […]

The post BREAKING NEWS: Matokeo ya kituo Kituo cha Skuli ya Bwagamoyo Wilaya ya Wete Pemba jimbo Mtambwe. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

BASATA NA KITUO CHA UTAMADUNI CHA UJERUMAN (GOETH INSTITUT) WAENDESHA MAFUNZO KWA WASANII WA SANAA ZA MIKONO

    Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA Godfrey Mngereza (Kushoto) akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wasanii wa batiki yaliyoanza mapema wiki hii kwenye Ofisi za Baraza hilo zilizoko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ujereum Bi. Eleonore Sylla na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni  Bi. Leah Ruhimbi      Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ujereum Bi. Eleonore Sylla...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani