Mkuu wa wilaya ya Mufindi amewataka wakazi wa mkoa wa Iringa kuwa walinzi namba moja dhidi ya wenyetabia ya kuharibu mazingira
Mkuu wa wilaya ya Mufindi Bi MBONI MHITA amewataka wakazi wa mkoa wa Iringa kuhakikisha wanakuwa walinzi namba moja dhidi ya watu wenyetabia ya kuharibu mazingira katika maeneo yao, kwani kwa kutofanya hivyo ni sawa na kujiuwa wenyewe.
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya habari na mawasiliano ya Halmashauri ya wilaya ya Mufindi Imetanabasha kuwa, mkuu wa wilaya ameyasema hayo kwenye kilele cha siku ya mazingira duniani yaliyofanyika kimkoa katika kijiji cha Vikula Wilayani Mufindi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUZINDUZI WA CHANJO YA WATOTO CHINI YA MIAKA 5 WILAYA YA MUFINDI MKOA WA IRINGA WAFANYIKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xMCtlOLhuReAt*SvSINcgBFSx*cxca6SI49EIsuP8qYwH69MCWOLujFKk6CmctPia3tv*iM9IL*k5iNXMmCOVIHBMqUmpTZC/001Iringa.jpg?width=650)
WAKAZI 6 WA MKOA WA IRINGA WATIMKA NA BODABODA ZA VODACOM IRINGA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_SsL-5bT-1s/Vawe9ny0QhI/AAAAAAAB_AI/X7QOpjw7XhE/s72-c/1.jpg)
UBORESHAJI WA BOMA LA MKUU WA WILAYA YA IRINGA KUWA KITUO CHA MAKUMBUSHO NA MAONESHO YA SANAA ZA KIUTAMADUNI WAPONGEZWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-_SsL-5bT-1s/Vawe9ny0QhI/AAAAAAAB_AI/X7QOpjw7XhE/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-zm13_YKm50A/VawfrSv_VjI/AAAAAAAB_Aw/RCs-Benyd9A/s640/8.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-qrTVhiG775Y/Vawe9MpDVWI/AAAAAAAB-_4/GNNMepuUoAo/s640/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-4Kcbt9Up1nU/Vawe91gdsfI/AAAAAAAB_AA/heWCfLuab2I/s640/3.jpg)
10 years ago
MichuziTASAF YAENDESHA MAFUNZO KWA WAWEZESHAJI WA UTAMBUZI WA KAYA MASKINI KATIKA WILAYA YA MUFINDI MKOANI IRINGA.
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF unaendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wawezeshaji wa utambuzi wa kaya maskini katika halmashauri kadhaa nchini. Zoezi hilo ni mwendelezo wa jitihada za TASAF za kunusuru kaya maskini nchini zoezi lililoanza mwaka uliopita kwa awamu katika maeneo mbalimbali nchini.
Miongoni mwa halmashauri ambako mafunzo hayo yanafanyika ni wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa ambako wawezeshaji hao watashiriki katika kuwapa mafunzo wadodosaji watakaofanya kazi ya tathmini...
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA ILALA,RAYMOND MUSHI AWAAGIZA WATAALAMU WA MAZINGIRA KUTOA ELIMU UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA WANANCHI
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amewaagiza watendaji na wataalamu na wenye elimu ya utunzaji wa Mazingira kutoa elimu kuhusu utunzanzaji wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwa wananchi wote.
Akizungumza leo na Waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amesema kuwa katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki ndiye Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Wiki ya...
5 years ago
BBCSwahili24 Feb
Albamu ya Justin Bieber ya 'Changes' yavunja rekodi kuwa namba moja
9 years ago
StarTV30 Oct
Wakazi wa Iringa watakiwa kuwa watulivu na kulinda amani
Wakazi wa mkoani Iringa wametakiwa kuwa watulivu kwa kupunguza ushabiki wa kisiasa ili kuepusha vurugu zisizo na msingi na kuufanya mkoa huo kuwa sehemu salama ya kuishi.
Hatua hiyo inatokana na uwepo wa watuhumiwa 50 waliokamatwa kwa madai ya kufanya vurugu wakati wa kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi.
Ni kutokana na mvutano uliopo baina ya makundi mawili ya kisiasa juu ya ushindi wa mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa- Bi- Amanina...
10 years ago
Dewji Blog26 May
JK amemteua Bwana Anthony Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa-Dodoma, ,afanya uhamisho wa wakuu 10 wa wilaya
9 years ago
StarTV28 Nov
Ofisi za Waziri Mkuu, Mkuu wa Mkoa zagongana kuhusu baa la njaa isimani iringa
Siku chache baada ya Star Tv kuripoti taarifa ya baa la njaa linalotishia maisha ya watu karibu ya 70,000 wa tarafa ya Isimani mkoani Iringa, ofisi mbili za Serikali zimegongana juu ya jambo hilo.
Wakati Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa imekilaumu kitengo cha Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kutotoa ushirikiano wa kutosha hadi watu kufikia hatua ya kula matunda pori kama chakula chao kikuu, kitengo hicho kimekanusha madai hayo kwa maelezo kuwa kuna utaratibu wa kutoa chakula cha msaada na...