Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je,kampuni ya Apple inatengeza gari?

Uvumi kwamba kampuni ya Apple huenda inajiandaa kuanzisha utengezaji wa magari umekuwa ukienea kana kwamba mashabiki wa Apple wamekuwa wakitarajia kitu kipya kutoka kwa kampuni hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TIM COOK WA KAMPUNI YA APPLE ASEMA ANA FAHARI KUWA SHOGA

Mtendaji Mkuu wa Apple, Tim Cook. MTENDAJI Mkuu wa kampuni ya Apple ya Marekani, Tim Cook, amefichua kwamba yeye ni shoga na anaona fahari kuwa hivyo. Cook ameyasema hayo leo katika tahariri ya mtandao wa Businessweek.com kwamba: “Acha niseme wazi. Ninaona fahari kuwa shoga, na ninaona kuwa shoga ni moja ya zawadi kubwa zaidi ambazo Mungu amenipa.” Ameongeza kusema kwamba wafanyakazi “wengi” wa Apple...

 

11 years ago

Dewji Blog

Airtel Tanzania ni kampuni ya kwanza ya mawasiliano nchini kuingia mkataba wa ushirikiano na Apple

SONY DSC

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Mallya (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati Kampuni ya Airtel kwa kushirikiana na Apple ilipofanya uzinduzi wa simu mpya ya iPhone 5s pamoja na ofa kabambe kwa wateja wa Airtel, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Ofa hiyo itawawezesha wateja wa Airtel kupata sms 5000, muda wa maongezi dakika 1500 pamoja na kifurushi cha internet cha 3GB. Wanaoshuhudia ni Meneja Masoko wa Airtel, Prisca Tembo...

 

11 years ago

Bongo5

It’s Official: Apple yaikaribisha rasmi kampuni ya Beats baada ya kukamilisha taratibu za ununuzi

Kampuni ya Apple imekamilisha taratibu za ununuzi wa kampuni ya Beats Music na Beats Electronics zilizoanzishwa na producer mkongwe Dr. Dre pamoja na mwanzilishi wa Interscope Jimmy Iovine kwa dola bilioni 3. Mwezi Mei mwaka huu Apple ilitangaza kuinunua Beats Music na Beats Electronics watengenezaji wa headphones maarufu za Beats By Dre, lakini walikuwa hawajakamilisha […]

 

11 years ago

Habarileo

Kampuni ya tumbaku yafufua gari la Zimamoto Morogoro

JESHI la Zimamoto na Uokoaji Nchini, limeishukuru Kampuni ya Tumbaku Tanzania (TLTC) kwa kuwezesha matengenezo makubwa ya moja ya gari la uzimaji wa moto lililoharibika kwa muda mrefu katika Mkoa wa Morogoro.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Sayed Corporation Limited yatoa gari la wagonjwa kwa hospitali ya Endulen ya Ngorongoro

IMGL7537

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gari la kubeba wagonjwa lililotolewa na kampuni ya  Sayed Corporation Limited  kwa ajili ya hospitali ya Endulen ya Ngorongoro . Gari hilo lilikabidhiwa kwa Waziri Mkuu, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Juni 1, 2015 na  Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Masood  ur Rehman Sayed (kulia kwake) jijini Dar es slaam .  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani