Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni ya tumbaku yafufua gari la Zimamoto Morogoro

JESHI la Zimamoto na Uokoaji Nchini, limeishukuru Kampuni ya Tumbaku Tanzania (TLTC) kwa kuwezesha matengenezo makubwa ya moja ya gari la uzimaji wa moto lililoharibika kwa muda mrefu katika Mkoa wa Morogoro.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

DC: Handeni nunueni gari la zimamoto

Moto ukiwaka Handeni baada ya gari la mafuta kupinduka.MKUU wa wilaya ya Handeni, Muhingo Rweyemamu amewataka madiwani wa halmashauri hiyo, kuanza kuona umuhimu wa kuweka mkakati wa kununua gari la shughuli za Zimamoto na Uokoaji ili kuepusha majanga yasiyo ya lazima.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TLTC yakarabati gari la zimamoto Moro

KAMPUNI ya Tumbaku Tanzania (TLTC) imekarabati moja ya magari manne ya zimamoto mkoani Morogoro kwa gharama ya sh milioni 7.8 ili kusaidia idara hiyo kuboresha huduma zake. Akikabidhi gari hilo...

 

9 years ago

Michuzi

UMMOJA WA WANANCHI WA KIBADA WAFANYA MATENGENEZO GARI LA JESHI LA ZIMAMOTO

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi iliyofanikisha upatikanaji wa Gari  la zimamoto, Mussa Bibose akitoa maelekezo kwa wananchi waliohudhuria shughuli ya kukabidhi gari hilo Kibada,Kigamboni  Jijini Dar es salaam. 
Mwenyekiti wa Umoja wa wananchi wa Kibada, Kigamboni Jijini Dar es salaam Bwana Lagano Mwampetu akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya gari moja ya zimamoto iliyopatikana kwa Juhudi za umoja huo na kukabidhi kwa  Kamishna wa Operation Jeshi La Zimamoto na uokoaji Tanzania CF,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Taswira ya Bonanza la wafanyakazi wa kiwanda cha Tumbaku mkoani Morogoro

 Wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Leaf Tobacco Co. Ltd. (TLTC) na Tanzania Tobacco Processing Company TTPL wakishindana kunywa soda na kula mkate wakati wa bonanza la siku ya familia iliyofanyika Morogoro. Wafanyakazi wa kike wa kampuni ya Tanzania Leaf Tobacco Co. Ltd. (TLTC) na Tanzania Tobacco Processing Company TTPL wakishindana kuvuta kamba wakati wa bonanza la siku ya familia liliyofanyika wiki iliyopita katika viwanja vya Magadu.  Wafanyakazi  wa kampuni ya Tanzania Leaf Tobacco...

 

9 years ago

StarTV

Lowassa azitaka Kampuni za tumbaku kulipa wakulima

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA inayoungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowassa amezitaka kampuni za ununuzi wa tumbaku kuwalipa wakulima fedha wanazodai haraka iwezekanavyo ili waweze kuzitumia kuendesha maisha yao.

Amesema iwapo ataingia Ikulu wakati wakulima hao hawajalipwa fedha zao, kampuni hizo zitalazimika kuwalipa maradufu ili kuhakikisha kila mkulima na mtanzania ananufaika na alicho kigaramikia hivyo kuomba kupewa ridha ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KIWANDA CHA TUMBAKU MOROGORO CHAFANYA SHERERE KUFUNGA NA KUFUNGUA MSIMU MPYA‏

Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Tumbaku ya Tanzania Tobacco Procesing Limited (TTPL) na Tanzania Leaf Tobacco Company (TLTC), David Crowhorst akikabidhi zawadi kwa wafanyakazi waliofanya kazi kwa muda mrefu ambao wamefanya kazi kwa zaidi ya miaka 15 mfululizo.Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Tumbaku ya Tanzania Tobacco Procesing Limited (TTPL) na Tanzania Leaf Tobacco Company (TLTC), David Crowhorst akitoa hotuba yake wakati wa sherehe za kumaliza msimu uliopita na kukaribisha msimu mwingine...

 

10 years ago

GPL

KIWANDA CHA TUMBAKU MOROGORO CHAFANYA SHERERE KUFUNGA NA KUFUNGUA MSIMU MPYA‏

Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Tumbaku ya Tanzania Tobacco Procesing Limited (TTPL) na Tanzania Leaf Tobacco Company (TLTC), David Crowhorst akikabidhi zawadi kwa wafanyakazi waliofanya kazi kwa muda mrefu ambao wamefanya kazi kwa zaidi ya miaka 15 mfululizo. Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Tumbaku ya Tanzania Tobacco Procesing Limited (TTPL) na Tanzania Leaf Tobacco Company (TLTC), David Crowhorst akitoa hotuba yake wakati wa...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YATHIBITISHA KUVUNJA MKATABA KATI YA JESHI LA ZIMAMOTO NA KAMPUNI YA ROM SOLUTION


Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imesema imevunja mkataba baina ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Kampuni ya ROM Solution Co. Ltd ambao ulikua wa ununuzi wa vifaa vya jeshi hilo wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Trilioni moja.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe George Simbachawene leo jijini Dodoma ambapo amesema makubaliano hayo yalishavunjwa...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU YAKAMILISHA UCHUNGUZI WA MAKUBALIANO YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA KAMPUNI YA ROM SOLUTIONS KWA ASILIMIA 99.9

Na Yassir Simba, Michuzi Tv
ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola na aliyekuwa Kamishina wa Jeshi la Zima Moto na Uokoaji Thobias Andengenye pamoja na watumishi wengine wa umma 15 wamekutwa  na tuhuma ya makosa, baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa (TAKUKURU) kukamilisha uchunguzi wa makubaliano ya Jeshi la Zima Moto na Uokoaji na kampuni ya ROM solution kupitia mkataba uliohusu upatikanaji wa mkopo wa Euro 408,416,288.16 ambazo ni sawa shilingi Trilioni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani