TLTC yakarabati gari la zimamoto Moro
KAMPUNI ya Tumbaku Tanzania (TLTC) imekarabati moja ya magari manne ya zimamoto mkoani Morogoro kwa gharama ya sh milioni 7.8 ili kusaidia idara hiyo kuboresha huduma zake. Akikabidhi gari hilo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo27 Mar
TLTC yaikabidhi hospitali ya Moro mashine ya ultra sound
KAMPUNI ya Tumbaku nchini (TLTC) imekabidhi hospitali ya mkoa wa Morogoro mashine ya kisasa ya ultra sound yenye thamani ya Sh milioni 65.
10 years ago
Habarileo01 Jan
DC: Handeni nunueni gari la zimamoto
MKUU wa wilaya ya Handeni, Muhingo Rweyemamu amewataka madiwani wa halmashauri hiyo, kuanza kuona umuhimu wa kuweka mkakati wa kununua gari la shughuli za Zimamoto na Uokoaji ili kuepusha majanga yasiyo ya lazima.
11 years ago
Habarileo15 Mar
Kampuni ya tumbaku yafufua gari la Zimamoto Morogoro
JESHI la Zimamoto na Uokoaji Nchini, limeishukuru Kampuni ya Tumbaku Tanzania (TLTC) kwa kuwezesha matengenezo makubwa ya moja ya gari la uzimaji wa moto lililoharibika kwa muda mrefu katika Mkoa wa Morogoro.
9 years ago
MichuziUMMOJA WA WANANCHI WA KIBADA WAFANYA MATENGENEZO GARI LA JESHI LA ZIMAMOTO
9 years ago
Habarileo25 Dec
Mbunge Moro kutumia mkopo wa gari kuchimba visima
MBUNGE wa Morogoro Mjini (CCM), Abdulaziz Abood, amesema atatumia fedha ambazo wabunge wanakopeshwa kununua magari, kuchimba visima vya maji kuwezesha wananchi wapatao 1,700 wa kata ya Mkundi kupata maji safi na salama.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRASpw4h96jXJiVAdBwIB8jQ8ydX*qqWHCW7xTlpYbD2lUAlX*LTC2FHRNaeGAH51FzotJwgUy7ZHaKRyhLdSHQo1/ajali1.jpg?width=650)
BODABODA YAGONGANA NA GARI, DEREVA AVUNJIKA MGUU MORO
11 years ago
Tanzania Daima02 May
TLTC yawaasa wahitimu Kilakala Sekondari
KAMPUNI ya Tumbaku Tanzania (TLTC) imewahakikishia wananchi wa mji wa Morogoro na vitongoji vyake, kwamba wataendelea kunufaika na uwepo wa kiwanda hicho kwa kupewa misaada mbalimbali kwenye maeneo ya maji,...
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
TLTC yaibuka kinara misaada ya jamii Morogoro
KAMPUNI ya Tumbaku Tanzania (TLTC) yenye makao makuu mjini Morogoro, imetangazwa kuwa kampuni bora ya mwaka 2014 kwenye tuzo za heshima za Uluguru (Uluguru Awards) zilizofanyika mjini hapa. TLTC ilinyakua ...
10 years ago
Uhuru Newspaper03 Sep
NHC yakarabati majengo ya shule
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limetumia sh. milioni 31.5 kukarabati majengo ya utawala na madarasa katika Shule ya Msingi Hassanga, iliyopo Uyole jijini Mbeya.
Hatua hiyo inatokana na ombi la Kamati ya Uongozi wa shule hiyo iliyowasilishwa na Ofisa Elimu wa wilaya kwa uongozi wa NHC mkoa wa Mbeya, mapema mwaka huu.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi majengo hayo ambayo ni madarasa manne na jengo moja la utawala,...