Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMMOJA WA WANANCHI WA KIBADA WAFANYA MATENGENEZO GARI LA JESHI LA ZIMAMOTO

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi iliyofanikisha upatikanaji wa Gari  la zimamoto, Mussa Bibose akitoa maelekezo kwa wananchi waliohudhuria shughuli ya kukabidhi gari hilo Kibada,Kigamboni  Jijini Dar es salaam. 
Mwenyekiti wa Umoja wa wananchi wa Kibada, Kigamboni Jijini Dar es salaam Bwana Lagano Mwampetu akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya gari moja ya zimamoto iliyopatikana kwa Juhudi za umoja huo na kukabidhi kwa  Kamishna wa Operation Jeshi La Zimamoto na uokoaji Tanzania CF,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Jeshi la Zimamoto jijini Dar latoa mafunzo ya matumizi ya Mtungi wa kuzimia moto kwa wananchi

Sargent Damian Muheya kutoka kitengo cha habari na Elimu kwa Umma Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akitoa maelezo ya kutumia vifaa vya kuzimia moto vya huduma yakwanza kwa watumiaji wa Kivuko cha Magogoni jijini Dar es salaam tarehe 05/03/2015,ili kuwajengea uwezo wa kukabiliana na majanga ya moto katika hatua ya awali.Sargent Damian Muheya kutoka kitengo cha Habari na Elimu kwa Umma Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akimuongoza mmoja wa watumiaji wa kivuko cha MV...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KADIO AKAGUA KIWANJA CHA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI DODOMA KINACHOTARAJIWA KUJENGWA MAKAZI YA MAOFISA NA ASKARI WA JESHI HILO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, wa kwanza kulia, akitoa maelekezo kwa Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza, pamoja na Maofisa Waandamizi wa Jeshi hilo, baada ya kumaliza kutembelea Kiwanja KK Plot 125 Mtumba Three, cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Dodoma, kinachotarajiwa kujengwa Makazi ya Maofisa na Askari wa Jeshi hilo, baada ya kupewa shilingi bilioni tano na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt....

 

10 years ago

Habarileo

DC: Handeni nunueni gari la zimamoto

Moto ukiwaka Handeni baada ya gari la mafuta kupinduka.MKUU wa wilaya ya Handeni, Muhingo Rweyemamu amewataka madiwani wa halmashauri hiyo, kuanza kuona umuhimu wa kuweka mkakati wa kununua gari la shughuli za Zimamoto na Uokoaji ili kuepusha majanga yasiyo ya lazima.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TLTC yakarabati gari la zimamoto Moro

KAMPUNI ya Tumbaku Tanzania (TLTC) imekarabati moja ya magari manne ya zimamoto mkoani Morogoro kwa gharama ya sh milioni 7.8 ili kusaidia idara hiyo kuboresha huduma zake. Akikabidhi gari hilo...

 

11 years ago

Habarileo

Kampuni ya tumbaku yafufua gari la Zimamoto Morogoro

JESHI la Zimamoto na Uokoaji Nchini, limeishukuru Kampuni ya Tumbaku Tanzania (TLTC) kwa kuwezesha matengenezo makubwa ya moja ya gari la uzimaji wa moto lililoharibika kwa muda mrefu katika Mkoa wa Morogoro.

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA KUWATAKA KUBUNI MIRADI MBALIMBALI YA KUONGEZA MAPATO NDANI YA JESHI HILO.

 Kaimu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,ambaye pia ni Kamishna wa Operesheni, Rogatius Kipali (kulia), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, taarifa ya ujenzi la Jengo laa  linalotarajiwa kuwa Makao Makuu ya Jeshi hilo, alipotembelea Ofisi za Jeshi hilo zilizoko TAZARA ,jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, akizungumza  na Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (hawapo pichani),...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Jeshi la Zimamoto lawakumbuka yatima



NA MWANDISHI WETU, IRINGA 

JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoani Iringa, limetoa misaada mbalimbali kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Sister Theresia, kilichoko Tosamaganga, mkoani hapa. Akikabidhi msaada huo, Kamanda wa Jeshi la Zimamoto mkoani hapa, Kennedy Komba, alisema lengo la kutoa msaada huo ni kuwa karibu na jamii. Alisema misaada hiyo itawasaidia yatima walioko katika vituo mbalimbali mkoani hapa. Komba alisema watoto yatima wanakabiliana changamoto nyingi katika kupata...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali kuliwezesha vifaa, mafunzo Jeshi la Zimamoto

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Silima amesema Serikali itaendelea kulijengea uwezo Jeshi la Zimamoto ili liweze kukabiliana na majanga ya moto hasa katika viwanja vya ndege nchini.

 

5 years ago

CCM Blog

MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA

Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, (CGF) John W. Masunga, amefanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Mikoa.
Makamanda walioguswa na mabadiliko hayo ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Zimamoto na Uokoaji (SACF) ABDALLAH MAUNDU anakwenda kuwa (RFO) Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kigoma, kabla ya nafasi hiialikuwa Makao Makuu Dodoma.
Aliyekuwa Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACF) SALUM M. OMARI, anayekwenda kuwa (RFO) Kamanda wa Mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani