TLTC yaibuka kinara misaada ya jamii Morogoro
KAMPUNI ya Tumbaku Tanzania (TLTC) yenye makao makuu mjini Morogoro, imetangazwa kuwa kampuni bora ya mwaka 2014 kwenye tuzo za heshima za Uluguru (Uluguru Awards) zilizofanyika mjini hapa. TLTC ilinyakua ...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_4DTGij9Ck0/XooCfRmUHDI/AAAAAAALmG8/UK7OxAHMxt0xYivashlRnlGoi11BshjUgCLcBGAsYHQ/s72-c/29ecbe31-0488-484c-80bb-ff5a6789c20e.jpg)
KUNDI LA SIMBA JAMII TANZANIA LAZIDI KUTOA MISAADA KWA JAMII
Msaada huo ulitolewa mbele ya Mwenyekiti wa Kamati ya Shule hiyo Ndg Happy Bakamba pamoja na maafisa kadhaa wa Kata.
Simba Jamii iliwakilishwa na wanachama wake Ndg Jacob Madege,Ndg Mwakalilila,Ndg Anangisye na Ndg Maureen.
Mkuu wa msafara wa Simba Jamii Ndg Maureen amedai kuwa...
10 years ago
VijimamboCBA YAIBUKA BINGWA MASHINDANO YA SOKA YA MABENKI NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
10 years ago
MichuziCBA YAIBUKA BINGWA MASHINDANO YA SOKA YA MABENKI NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII Inbox x
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-F-fdTyZc12Y/VmPzRymcCDI/AAAAAAAAdGc/2c2F2Y1z2Pc/s72-c/b1.jpg)
PPS YAIBUKA KIDEDEA UTUNZAJI WA HESABU ZAKE, YATWAA TUZO YA HIFADHI YA JAMII
![](http://3.bp.blogspot.com/-F-fdTyZc12Y/VmPzRymcCDI/AAAAAAAAdGc/2c2F2Y1z2Pc/s640/b1.jpg)
Na Khalfan Said/ K-Vis Media
MFUKO wa Pensheni wa PPF, umeibuka kidedea kwa kutwaa tuzo ya uwasilishaji bora wa hesabu zake katika kipindi cha mwaka 2014.Katika hafla ya kutoa tuzo kwa taasisi za serikali na za watu binafsi, Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu, NBAA, imetoa tuzo hizo kwa makampuni na taasisi mbalimbali nchini, ambapo kwa upande wa kundi la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, PPF ndiyo iliibuka ya kwanza ambapo Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko huo, Bw. Martin Mmari kwa niaba...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-v3v1F4yP9MU/Vg5Bi6XrgdI/AAAAAAAH8TM/UEsKIHZn1EA/s72-c/IMG_9969.jpg)
JAMII YAASWA KUTOKUTEGEMEA MISAADA KUTOKA NJE
![](http://3.bp.blogspot.com/-v3v1F4yP9MU/Vg5Bi6XrgdI/AAAAAAAH8TM/UEsKIHZn1EA/s640/IMG_9969.jpg)
JAMII ya watanzania wanatakiwa kutokutegemea misaada kutoka nje ya nchi isipo kuwa tunatakiwa kujitolea ili kusaidia jamii isiyojiweza kwa jia ya harambee.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Rotary Dar Marathon na mtoa maada, Sharmilla Bhatt katika mkutano unaofanyika kila Alhamisi ya kila...
10 years ago
CloudsFM24 Feb
Nay Wa Mitego awataka wasanii kutoa misaada kwa jamii
“Unajua sisi ni binadamu na kama umefanikiwa kwa kiasi fulani basi na wewe unatakiwa kutoa msaada kidogo ulichokua nacho, hivyo nawaasa wasanii wenzangu kujitolea,” alisema.
Msanii huyo amefanikiwa kufanya vizuri nchini kupitia nyimbo zake kama Akadumba, Nakula ujana na nyinginezo.
10 years ago
Dewji Blog09 Jan
Mbunge wa jimbo la Morogogo mjini Mh Abood amwaga misaada kata ya Bigwa Morogoro
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akijibu Hoja mbalimbali kuhusu kero zinazowakabili wakazi wa kata ya bigwa katika ziara yake ya kutembelea kata mbalimbali za jimbo la Morogoro Mjini.Mh Abood aliata nafasi ya kuongea na wakazi wa mitaa wa mitaa mbalimbali inayounda kata ya Bigwa.Mh Abood alijibu na kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wakazi wa kata hiyo.Mbunge huyo alitoa majibu kuhusu kero ya umeme, maji ,barabara na nyinginezo.Pia Mh Abood alitoa misaada mbalimbali...
10 years ago
Vijimambo03 May
UN na EU Wavutiwa na Programu za Radio za Jamii Morogoro
![Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Filiberto Sebregondi akizungumza na kikundi cha akinamama kinachotengeneza vikoi na bidhaa mbalimbali mjini Ifakara. Kikundi hicho kimewezeshwa na EU na Umoja wa Mataifa UN.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_0266.jpg)
![Akinamama wa kikundi cha utengenezaji vikoi na bidhaa nyingine za nguo wakiendesha moja ya mashine yao rahisi kutengeneza nguo hizo. Balozi Filiberto Sebregondi na Alvaro Rodriguez walitembelea miradi mbalimbali inayofadhiliwa na taasisi hizo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_0307.jpg)
![Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Filiberto Sebregondi na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez wakisaidiana kuendesha moja ya mashine rahisi za ufumaji vitambaa eneo la Ifakara, mkoani Morogoro.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_0304.jpg)
10 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_0266.jpg?width=650)
UN NA EU WAVUTIWA NA PROGRAMU ZA RADIO ZA JAMII MOROGORO