Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN NA EU WAVUTIWA NA PROGRAMU ZA RADIO ZA JAMII MOROGORO‏

Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Filiberto Sebregondi akizungumza na kikundi cha akinamama kinachotengeneza vikoi na bidhaa mbalimbali mjini Ifakara. Kikundi hicho kimewezeshwa na EU na Umoja wa Mataifa UN. Akinamama wa kikundi cha utengenezaji vikoi na bidhaa nyingine za nguo wakiendesha moja ya mashine yao rahisi kutengeneza nguo hizo. Balozi Filiberto Sebregondi na Alvaro Rodriguez walitembelea miradi mbalimbali...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UN na EU Wavutiwa na Programu za Radio za Jamii Morogoro

Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Filiberto Sebregondi akizungumza na kikundi cha akinamama kinachotengeneza vikoi na bidhaa mbalimbali mjini Ifakara. Kikundi hicho kimewezeshwa na EU na Umoja wa Mataifa UN. Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Filiberto Sebregondi akizungumza na kikundi cha akinamama kinachotengeneza vikoi na bidhaa mbalimbali mjini Ifakara. Kikundi hicho kimewezeshwa na EU na Umoja wa Mataifa UN.[Akinamama wa kikundi cha utengenezaji vikoi na bidhaa nyingine za nguo wakiendesha moja ya mashine yao rahisi kutengeneza nguo hizo. Balozi Filiberto Sebregondi na Alvaro Rodriguez walitembelea miradi mbalimbali inayofadhiliwa na taasisi hizo. Akinamama wa kikundi cha utengenezaji vikoi na bidhaa nyingine za nguo wakiendesha moja ya mashine yao rahisi kutengeneza nguo hizo. Balozi Filiberto Sebregondi na Alvaro Rodriguez walitembelea miradi mbalimbali inayofadhiliwa na taasisi hizo.Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Filiberto Sebregondi na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez wakisaidiana kuendesha moja ya mashine rahisi za ufumaji vitambaa eneo la Ifakara, mkoani Morogoro. Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini...

 

10 years ago

GPL

UNESCO YAENDESHA MAFUNZO YA TEHAMA KUHUSU MABADILIKO YA RADIO JAMII‏

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akiendesha mafunzo ya matumizi ya kutumia TEHAMA kwa kupeleka na kupokea habari yaliyofanyika katika kituo cha Sengerema Telecentre mkoani Mwanza chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) kwa ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO). Ofisa...

 

10 years ago

GPL

WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA WAVUTIWA NA ENEO LA VIWANDA WILAYANI KISARAWE MKOANI PWANI‏

 Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Brendan Maro (kushoto), akizungumza na viongozi wa Halmshauri ya Wilaya ya Kisarawe,  Wabia wa eneo la mradi wa Kampuni ya World Map  na wawekezaji kutoka nchini China waliofika wilayani humo jana kuangalia fursa za kuwekeza viwanda katika eneo hilo. Kulia ni Ofisa Mipango Miji Mwandamizi kutoka TIC, Elibariki Ngorovily.  Wawekezaji kutoka China...

 

10 years ago

Michuzi

Programu ya Safaari Lager Wezeshwa msimu wa nne yazinduliwa mkoani Morogoro

Balozi wa Programu ya Safaari Lager Wezeshwa msimu wa nne, Samira Kadelwa akigawa vipeperushi kwa wajasilamali mbalimbali wa Mkoa wa Morogoro wakati wa uzinduzi wa Proramu hiyo mkoani humo uliofanyika jana.Jumla ya milioni 220 zinatarajiwa kugawiwa kwa wajasiliamali kwa awamu hii ya nne chini ya bia ya Safari Lager.Balozi wa Programu ya Safaari Lager Wezeshwa msimu wa nne, Catherine Oden akigawa vipeperushi kwa wajasilamali mbalimbali wa Mkoa wa Morogoro wakati wa uzinduzi wa Proramu hiyo...

 

11 years ago

GPL

WAANDISHI WA HABARI WA REDIO ZA JAMII WAASWA KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA KATIKA KUITUMIKIA JAMII‏

Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma Ledama, akitoa mafunzo ya maadili na jinsia kwa waandishi wa habari na watangazaji wa Redio za Jamii nchini yanayolenga kuwajengea uwezo katika utendaji wa kazi zao kwenye vituo vyao.Mafunzo hayo ya siku tano yamefadhiliwa na Shirika la UNESCO kupitia mradi wa Demokrasia na Amani kuelekea uchaguzi 2015. Mkufunzi wa Redio za Jamii kutoka Unesco Mama...

 

10 years ago

GPL

TATHMINI YA PROGRAMU YA IFAD NCHINI TANZANIA YAONYESHA MAFANIKIO MAKUBWA‏

Mkurugenzi wa IFAD, Ofisi huru ya Tathmini, Mr Oscar Garcia akitoa ripoti ya tathmini ya programu ya IFAD nchini Tanzania jinsi ilivyoweza kuonyesha mafanikio makubwa wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika Januari 29, 2014 jijini Dar katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere.

Waziri wa Kilim, Chakula na Ushirika Tanzania Bara, Mh Steven Wassira akisoma hotuba fupi wakati wa warsha ya siku moja iliyolenga...

 

11 years ago

GPL

REDIO ZA JAMII NCHINI ZIMETAKIWA KUWA MAKINI NA UANDAAJI WA VIPINDI PAMOJA NA HABARI, KATIKA KUEPUSHA UIBUAJI WA MIGOGORO KATIKA JAMII ZINAZOWAZUNGUKA‏

Mwezeshaji wa warsha hiyo ambaye pia ni Mkufunzi wa Redio za Jamii kutoka Unesco, Mama Rose Haji Mwalimu, akitoa utambulisho kwa waendesha warsha ya namna ya kuandika habari za migogoro kutoka Shirika la Search for Common Grounds (SFCG), yanayoendelea mjini Dodoma. Meneja Mradi wa SFCG wilaya ya Tarime, Bwana Jacob Mulikuza, akielezea maudhui ya warsha ya namna ya kuandika habari za migogoro kwa washiriki ambao ni waandishi...

 

10 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE KUZINDUA PROGRAMU YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA MKOANI KAGERA‏

Kaimu Katibu Tawala wa wilaya ya Ngara Bw. Hussein Seif akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa maandalizi ya shughuli ya uzinduzi wa Programu ya uimarishaji wa mipaka ya Kimataifa wa wilaya ya Ngara itakayozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete eneo la Mugikomero mpakani mwa Tanzania na Burundi. Wanaoonekana nyuma ni raia wa Burundi waishio mpakani. Raia wa Burundi wakiwa nyuma ya… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TLTC yaibuka kinara misaada ya jamii Morogoro

KAMPUNI ya Tumbaku Tanzania (TLTC) yenye makao makuu mjini Morogoro, imetangazwa kuwa kampuni bora ya mwaka 2014 kwenye tuzo za heshima za Uluguru (Uluguru Awards) zilizofanyika mjini hapa. TLTC ilinyakua ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani