TIM COOK WA KAMPUNI YA APPLE ASEMA ANA FAHARI KUWA SHOGA
![](http://api.ning.com:80/files/6ovfEf3pFLetf-xIetaEeZXWQ4m*rvM1Y-kZ9HoV0n9gkWnReMTZEG6T2RafGaPpiaM5fEfCkJXWA8ovxbEbgvoYSW4A93kc/timcookbig.jpg?width=650)
Mtendaji Mkuu wa Apple, Tim Cook. MTENDAJI Mkuu wa kampuni ya Apple ya Marekani, Tim Cook, amefichua kwamba yeye ni shoga na anaona fahari kuwa hivyo. Cook ameyasema hayo leo katika tahariri ya mtandao wa Businessweek.com kwamba: “Acha niseme wazi. Ninaona fahari kuwa shoga, na ninaona kuwa shoga ni moja ya zawadi kubwa zaidi ambazo Mungu amenipa.†Ameongeza kusema kwamba wafanyakazi “wengi†wa Apple...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
The Verge22 Mar
Apple CEO Tim Cook says the company is donating “millions†of masks to healthcare workers
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Najivunia kuwa shoga asema mkuu wa Apple
10 years ago
BBCSwahili13 Aug
Jimmy Carter asema ana kansa
11 years ago
BBCSwahili11 May
Mchezaji wa NFL ajitangaza kuwa shoga
9 years ago
Mwananchi14 Dec
Askofu asema JPM ana kibarua kigumu
11 years ago
BBCSwahili21 May
Kahaba mkongwe Uingereza asema ana mvuto!
9 years ago
BBCSwahili05 Nov
Museveni asema ana imani atashinda urais
9 years ago
BBCSwahili17 Aug
Je,kampuni ya Apple inatengeza gari?
9 years ago
StarTV16 Dec
 Mwamuzi Nba  Billy Kennedy  ajitangaza kuwa ni shoga.
Mwamuzi mkongwe wa ligi ya mpira wa Kikapu nchini Marekani NBA Billy Kennedy amefafanua na kuweka wazi kuwa yeye ni shoga baada ya kuweka wazi katika mada ya matusi ya mapenzi ya jinsia moja
Kanisa moja nchini Marekani lilimkabili Mwamuzi huyo kuweza kutoa mameno hayo kupitia kampuni ya ulinzi ya Rajon
Kennedy alitoa maelezo hayo wakati wa mchezo kati ya wafalme na Celtcs Boston katika nchini Mexico Desemba 3 Mwaka huu ambapo alisema kuwa anaona ufahali wa kuchezesha ligi ya NBA ya...