Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


 Mwamuzi Nba  Billy Kennedy  ajitangaza kuwa ni shoga.

Mwamuzi mkongwe wa ligi ya mpira wa Kikapu nchini Marekani NBA Billy Kennedy  amefafanua na kuweka wazi kuwa yeye ni shoga baada ya kuweka wazi katika mada ya matusi  ya mapenzi ya jinsia moja

Kanisa moja nchini Marekani lilimkabili  Mwamuzi huyo kuweza kutoa mameno hayo kupitia kampuni ya ulinzi ya Rajon

Kennedy  alitoa maelezo hayo wakati wa mchezo kati ya wafalme na Celtcs Boston katika  nchini Mexico Desemba 3 Mwaka huu ambapo alisema kuwa anaona ufahali wa kuchezesha ligi ya NBA ya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mchezaji wa NFL ajitangaza kuwa shoga

Mchezaji wa timu ya ligi ya soka ya Marekani, National Footbal League ,Michael Sam amejitangaza kuwa shoga .

 

5 years ago

GIVEMESPORT

NBA News: NBA launches global campaign 'NBA Together' in response to Coronavirus pandemic

NBA News: NBA launches global campaign 'NBA Together' in response to Coronavirus pandemic  GIVEMESPORTNBA launches global 'NBA Together' campaign in response to Coronavirus pandemic  NBA.comOne man band entertains neighbors during coronavirus pandemic  KING 5NBA launches ‘NBA Together’ campaign in response to coronavirus pandemic  ClutchPointsAthletes adjust to new life during the coronavirus pandemic  CityNews TorontoView Full coverage on Google...

 

10 years ago

BBCSwahili

Najivunia kuwa shoga asema mkuu wa Apple

Mkuu wa kampuni ya Apple Tim Cook ametangaza jinsia yake akisema kuwa ''anajivunia kuwa shoga''..

 

10 years ago

Vijimambo

EMPIRE" STAR JUSSIE SMOLLETT AFUNGUKA KUWA YEYE NI SHOGA

Aliyasema hayo alivyokuwa anaojiwa na Ellen kwenye kipindi chake cha TV kwa wale wanaofuatilia Episode ya Empire jina la star huyu alieigiza kama shoga kwenye show hiyo wanampata vilivyo. Jussie kasema kweli kuwa unachokiona kwenye chow hiyo ndiyo maisha yake kwaiyo pigia mstari tu kiroho safi na maisha yaendelee. Zaidi  juu ya ubuyu huu jitiririshe hapa chini kama kikoloni kinapanda utaupata ukweli wake mwenyewe bila chenga.Jussie Smollett on the Ellen DeGeneres Show.‘Empire’ star Jussie...

 

11 years ago

Bongo Movies

Steve Nyerere alia na watu wanaomzushia kuwa yeye ni shoga.

Mwenyekiti wa bongo movie Unity, Steve Nyerere amechukizwa na watu wanaotumia mitandao vibaya na kwa kumzushia kuwa ni shoga.

 

Steve Nyerere kupitia akaunti yake ya facebook ameandika:

Napenda kuchukua fursa hii kuongea machache na kama mtaboa mtu naomba samahani najua binadamu tumezaliwa tofauti sana kuna wale wanaogopa zambi na kunawale wanopenda zambi mimi daima nasema izo ni changamoto tuuu ok nimepata taarifa umu umu kwenye mitandao yetu ya kijamiii hususani huuu kwamba kuna binti...

 

10 years ago

GPL

TIM COOK WA KAMPUNI YA APPLE ASEMA ANA FAHARI KUWA SHOGA

Mtendaji Mkuu wa Apple, Tim Cook. MTENDAJI Mkuu wa kampuni ya Apple ya Marekani, Tim Cook, amefichua kwamba yeye ni shoga na anaona fahari kuwa hivyo. Cook ameyasema hayo leo katika tahariri ya mtandao wa Businessweek.com kwamba: “Acha niseme wazi. Ninaona fahari kuwa shoga, na ninaona kuwa shoga ni moja ya zawadi kubwa zaidi ambazo Mungu amenipa.” Ameongeza kusema kwamba wafanyakazi “wengi” wa Apple...

 

10 years ago

Bongo5

Eminem ameigiza kwenye filamu ya ‘The Interview’ ambamo alijitangaza kuwa ni shoga (Video)

Eminem ameigiza pia kwenye filamu ya The Interview ambayo imekuwa chanzo cha kukua kwa mgogoro kati ya Marekani na Korea Kaskazini. Kuonekana kwa Eminem kwenye filamu hiyo kunaweza kuwa kunachekesha zaidi kwa wengi pale ambapo rapper huyo anayefahamika kwa mashairi yake ya kuwaponda mashoga akimshangaza mtangazaji (nafasi iliyoigizwa na James Franco) aliposema kuwa naye ni […]

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!

Shoga, ni matumaini yangu hali yako ipo poa na unaendelea kusaka ugali wa kula watoto kama kawaida.
Kwa upande wangu namshukuru Mwenyezi Mungu, afya yangu, wanangu na mume wangu ni nzuri kabisa.
Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kuyafanyia kazi yote uliyofundishwa na kungwi wako ili umpagawishe mumeo na kumfanya atulie nyumbani, leo nimekuandalia kitu tofauti. Nafanya hivyo ili kuufungua ubongo wako katika suala...

 

10 years ago

BBCSwahili

Essebsi ajitangaza kushinda Tunisia

Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais nchini Tunisia yanaonesha kuwa Beji Caid Essebsi anaongoza kwa zaidi ya asilimia 55 ya kura

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani