Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jela kwa kufichua siri za kutengeza nuklia

Mwanasayansi wa zamani katika mahabara ya kitaifa Marekani amefungwa jela miaka 5 kwa kujaribu kuipatia nchi ya Venezuela siri za kutengeza bomu la nuklia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ENDELEENI KUFICHUA UNYANYASAJI KWA WANAWAKE, WATOTO – TAMWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Tamwa, Dk. Valery Msoka. Na Walusanga Ndaki
VYOMBO vya habari vimetakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo. Msisitizo huo ulitolewa mwishoni mwa wiki na chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa) kwa...

 

11 years ago

GPL

MSEMAJI JESHI LA POLISI AIPONGEZA GLOBAL KWA KUFICHUA MAOVU

Msemaji wa jeshi la polisi nchini, SSP Advera Senso. MSEMAJI wa jeshi la polisi nchini SSP Advera Senso,  ametoa  pongezi  kubwa  kwa kampuni Global Publishers inayochapisha magazeti ya Uwazi, Championi, Amani, Risasi na Ijumaa kwa kile alichosema kuwa wamekuwa wakirejesha nidhamu na maadli kwa  watu ambao  wanaenda  kinyume  na maadili  ya kibinadamu. Akizungumza na mwandishi mwandamizi wa ...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto apeleka moto wa kufichua ufisadi kwa wawakilishi Z’bar

Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe amewataka wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wanaounda kamati hiyo, kufanya kazi kama ilivyo kamati yake kwa Tanzania Bara.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMETOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA KUTENGEZA BARAKOA NA VITASA MKONO, SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (katikati) akipata ufafanuzi kuhusu matumizi ya mashine ya Cherehani katika utengenezaji wa Barakoa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Uchapishaji cha Five stars, Ashik Abbas Karim (kushoto), leo Aprili 20, 2020 alipokua katika ziara ya Jijini Dar es Salaam ya kutembelea Viwanda vinavyozalisha Barakoa na Vitakasa Mikono. Waziri wa Viwanda na Biashara,  Innocent Bashungwa (katikati) akisikiliza kwa makini maelezo ya eneo la...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI

Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania Wa Zanzibar na Tanganyika natumai mumeamka salama na muko katika harakati za kutafuta KIJIO. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Mwenyezi Mungu kwakunijaalia kunipa uzima, afay na muda huu mdogo wakufikisha ujumbe […]

The post CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mtanzania

Philips kutengeza CT Scan Muhimbili

mri--1Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

UONGOZI wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)  umesema wakati wowote   Kampuni ya Philips itazitengeza mashine za CT-Scan na MRI  ziweze kutoa huduma kwa wagonjwa.

Umeyasema hayo siku moja baada ya Rais Dk. John Magufuli kutembelea hospitali hiyo na kumng’oa Kaimu Mkurugenzi wake, Dk. Hussein Kidanto

Kaimu Mkurugenzi mpya wa hospitali hiyo, Profesa Lawrence Mseru, pia amewahimiza wafanyakazi wa hospitali hiyo kuzingatia nidhamu ya kazi kila mmoja kulingana...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nuklia:Msimamo wa Netanyahu wakosolewa

Marekani imekosoa kauli ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuwa wameshindwa kushughulikia mpango wa Nuklia wa Iran

 

10 years ago

BBCSwahili

Kasi kutafuta mwafaka kuhusu Nuklia

Mataifa sita yenye ushawishi duniani na pamoja na Iran yanakutana kwa awamu ya mwisho ya majadiliano kabla ya muda wa mwisho wa kufikia makubaliano kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani