Kasi kutafuta mwafaka kuhusu Nuklia
Mataifa sita yenye ushawishi duniani na pamoja na Iran yanakutana kwa awamu ya mwisho ya majadiliano kabla ya muda wa mwisho wa kufikia makubaliano kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
Nuklia Iran:China yataka mwafaka
China imetaka kuwepo kwa maelewano kwenye mazungumzo ya nuklia na Iran
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Bunge laahirishwa mara mbili kutafuta mwafaka maazimio ya PAC
Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania limeongeza muda wake na kusitisha vikao vyake mara mbili ili kutafuta muafaka juu ya andikaji wa maazimio yatakayotumiwa kuwawajibisha wale wote waliohusika na kashfa ya Escrow.
11 years ago
BBCSwahili11 Mar
Malaysia yazidisha kasi kutafuta Ndege
Mamlaka nchini Malaysia imesema juhudi za kusaka Ndege iliyotoweka zimeongezeka mara mbili zaidi
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Nuklia:Msimamo wa Netanyahu wakosolewa
Marekani imekosoa kauli ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuwa wameshindwa kushughulikia mpango wa Nuklia wa Iran
10 years ago
BBCSwahili20 Nov
Korea Kaskazini kufanya jaribio la nuklia
Korea Kaskazini imetishia kufanya majaribio ya zana zake za nuklia katika jibu lake kwa vitisho vya umoja wa Mataifa kuchunguza visa vya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini humo.
10 years ago
BBCSwahili20 May
Je Korea Kaskazini inamiliki zana za Nuklia ?
Korea Kaskazini imesema kuwa inaendelea kuimarisha mipango yake ya kupunguza ukubwa wa zana zake za kinyukilia.
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Jela kwa kufichua siri za kutengeza nuklia
Mwanasayansi wa zamani katika mahabara ya kitaifa Marekani amefungwa jela miaka 5 kwa kujaribu kuipatia nchi ya Venezuela siri za kutengeza bomu la nuklia.
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Nuklia:Iran yatakiwa kuweka juhudi zaidi.
Uingereza imesema kuwa Iran inahitaji kunyumbuka zaidi iwapo inataka kuafikia mkataba kuhusu mpango wake wa kinuklia.
11 years ago
Habarileo06 Apr
Dk Shein asisitiza Serikali 2 mwafaka
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohammed Shein amesisitiza kuwa, muundo wa Serikali mbili ndio unaofaa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania